Tufanye summary ya mkutano wa Polepole: TAKE-HOME MESSAGE ni (z)ipi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,914
Reaction score
101,409
Core message Polepole would want his listerners /Tanzanians to retain

1. Ukiukwaji wa katiba na taratibu za CCM..............fomu moja ya "mgombea" (hajamtaja
 
Mkuu tuliza akili vizuri, kazungumZia mgombea wa uraisi wa ccm namna alivyopitishwa, wewe ngomea uraisi wa ccm aliyepitishwa humjui??

kazungumZia kikwete kushiriki jambo ambalo halina uhalali, wewe kikwete humjui?

kazungumZia kuwa ccm huwa inafanya internal regime change kila baada ya miaka 10 kutokea 1995, hivyo hata Sasa inapaswa ifanyikr internal regime change
 
sasa si ndiyo take home nilizozihitaji summary, nimekosea wapi? Nyie vijana wa UDOM taabu sana

Polepole provided superfluous information; we need to sift out the key take-home message!
 
TKe home , CCM imewah sana kuoza kinyume na ilivyotabiliwa kuwa UKAWA iliwapa somo na sasa wangekuwa na akili zaid katika myenendo yao.
 
Core message Polepole would want his listerners /Tanzanians to retain

1. Ukiukwaji wa katiba na taratibu za CCM..............fomu moja ya "mgombea" (hajamtaja
2. "Uongozi siyo mali ya baba yako lazima uombe kwa unyenyekevu" Mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom