Scenario 1: Lissu ameshinda Urais wa Tanzania. Anaunda Serikali. CCM ina wingi wa Wabunge. Inatoa Waziri Mkuu na Mawaziri wengi. Serikali ya Lissu itapelekeshwa na chama chetu tutakavyo na...
Utakuwa upumbavu wa hali ya juu kufanya vurugu za kisiasa, kupigana na kupoteza maisha kwa ajili ya mtu mmoja au wachache wapate wadhifa wa kula na kuishi vizuri zaidi.
Upumbavu huu umefanyika...
Bwana Hamsini amefuta mapingamizi yote hapa Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake, amesema yeye hana na hataki kujijengea chuki kwa kufuata maelekezo ktoka juu, kuenguana...
Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila...
Tunaelewa JKT Wana miradi wanayosimamia na yawezekana wanalipwa kujenga majukwaa ya CCM kwa ajili ya kampeni. Ila huu ni uchaguzi na jeshi ni chombo neutral katika issue kama hizi, tuliona Dodoma...
Wanajamvi,
Nimeona malalamiko mengi kutoka kwa wana CCM, eti hawajasikia Lissu akizungumza atakayoyafanya! Na leo kwenye uzinduzi wa kampeni yao, mwenyekiti wao eti anajidai kufuata ushauri wa...
Habari wadau naomba kujua kazi ya NEC ni nini?
Je, ni kukata wagombea? Je, ni kuelimisha wagombea jinsi ya kujaza form na kuwapa muongozo? Je, ni kupiga kampeni kichama? Je, ni kudidimiza siasa...
Leo Tarehe Mosi September tumebakiwa na siku 56 ili tukawachague viongozi watakaotufaa kwa miaka mitano ijayo, kutokana na sera na ahadi ambazo tumezisikia hadi sasa kutoka kwa wagombea mbalimbali...
TOFAUTI YA ILANI YA CCM NA ILANI YA CHADEMA UCHAGUZI WA 2020.
1. Ilani ya CCM haizungumzii kupunguza Kodi wakati ilani ya CHADEMA inalenga kupunguza Kodi ya ongezeko la thamani ili iendane na...
Na pia nisaidieni kufahamu ni nani kazuia Lissu kutosemwa popote!?
Nimefuatilia magazeti kote kimya. BBC wakianza report habari zake sauti inakuwa muted.
Hii ni hatari kubwa.
Nadhani kama kuna Jambo limekosewa ni kuwa na tume inayowapa uhakika Wagombea kwamba wafanye kampeni au wasifanye watapitishwa tu. Mmoja wa wagombea katika majimbo ya Mwanza amediriki kujinadi kwa...
Habari,
Kwa mawazo yangu, upinzani ni upande wenye fikra, sera, mawazo na maoni mbadala wa chama kilichopo madarakani. Hivyo basi, katika nchi nyingine watu hufikiri kwenda na upinzani kwa...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania.
Katika kikao chake cha Kamati Kuu...
Siku 3 zilizopita chama cha CHADEMA kimefanya Uzinduzi wa Kampeni zake Mkoa wa Dar es Salaam, Katika hali isiyotarajiwa mwitikio wa watu umekuwa Mdogo kuliko Kawaida sana naweza...
Please uongozi wa CHADEMA Media fanyeni hima hotuba zote za Lissu kila anakofanya mkutano zitengenewe clips za peke yake kuwezesha wadau mbali mbali kuweza kufuatilia kwa mtiririko hotuba hizo...
Mfumo wa Uchaguzi Tanzania ni kuwa anayepata Kura nyingi ndiye mshindi. Hii inamaanisha kuwa Rais, Mbunge au Diwani atakayepata kura nyingi ndie atakayetangazwa mshindi. Aidha kuna uwakilishiwa...
HABARI,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC mapema tarehe 25 Agosti 2020 ilimteua Ndugu MWAKASAKA BOAZ DONARD kuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Sauti ya Umma (SAU). Mwakasaka ni...
1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.