Hujui hata maana ya habar wewe? Habbari? Unafikir raisi kuwatoa watu wamimine risasi zote zile kwa raiya asiye hata na manati mkononi site HABARI? Au unadhan habari ni KUPORA KOROSHO ZA WAKULIMA TU?Za nini kuonesha makovu ndio iwe habari .nani hajui
MwananchiNa pia nisaidieni kufaham ni nani kazuia Lissu kutosemwa popote!?
Nimefuatilia magazeti kote kimya. BBC wakianza report habari zake sauti inakua muted.
Hii ni hatari kubwa.
Na hakuna Mchungaji wala Askofu aliyekemea!! Leo wanakusanyana kuombea mtu mzima! Yesu angerudi leo akakuta haya, sijui ingekuwaje!Unashangaa kuzuiwa kwa vyombo vya habari visiandike habari za Lisu. Mimi nilishangaa ilipopigwa marufuku ya kumuombea alipokuwa mgonjwa. Sasa nimekuwa sugu sishangai chochote.