Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaipopo amefika leo, Ijumaa, Septemba 4, 2026, kwa ajili ya kushiriki kikao kilichoitishwa na Waziri Katambi, kinachowahusisha watu mbalimbali walioitwa na Wizara hiyo. Kikao hicho ni sehemu ya...
2 Reactions
9 Replies
268 Views
Utamaduni wa kuwajibisha viongozi wanaofanya ubadhirifu, ufisadi na rushwa umeanza kubaki kama hadithi za kusadikika tu kwenye nchi yetu; hakuna tena mihimili yenye nguvu, mathalani mahakama zenye...
1 Reactions
2 Replies
51 Views
Sote ni mashahidi kwamba, Dr Samia Suluhu Hassan, alipokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi katikati ya janga la COVID-19 na katika hali ya majonzi, masikitiko makubwa na huzuni ya kitaifa...
2 Reactions
24 Replies
216 Views
Katambi hizo 50,000 si muingize kwenye Mikopo kwa Vijana ? Nani aliekupa hiyo idea ya kuwagawia wasanii na influencer 50,000 ? Hivi CCM mna pesa za kuchezea sana ee
2 Reactions
1 Replies
137 Views
Yaani unakuta kiongozi ni msomi kabisa, tena anaongoza chama cha siasa au taasisi halafu eti ni mropokaji na fisadi wa mali za chama chake. Hii imekaaje my friends, ladies and gentlemen? Je, mtu...
3 Reactions
136 Replies
873 Views
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa. Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii...
4 Reactions
48 Replies
630 Views
Mzee Philip Mangula, Mstaafu wa nafasi ya katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa CCM amesema; "Wakati huo tulikuwa tumeshajipanga ndio kipindi ndio kipindi ambacho walitokea wengi wanataka uongozi...
2 Reactions
0 Replies
133 Views
Nimeskikitishwa sana na kitendo cha mbunge wa CCM kutoonesha nidhamu kwa upande wa pili ambao ndo mrekebishaji wa mabaya yetu sisi chama Tawala, Tulio wengi hatuna busara lakin angalau tu act...
14 Reactions
41 Replies
4K Views
"Mwenye Ku- mobilize alikuwa ni Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati huo tunajenga CCM Kirumba, Mwanza nilikuwa wilaya ya Kwimba. "Tuligawana kila wilaya itafute wadau na Chama kitafute watu kwa ajili...
0 Reactions
9 Replies
303 Views
  • Redirect
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameitisha kikao na Makampuni ya Simu ya VODACOM, AIRTEL, YAS, HALOTEL na TTCL ili kuweza kujadili uhalifu wa mitandaoni unaotumia namba za simu...
0 Reactions
– Replies
– Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amekutana na wasanii na watengeneza maudhui 21 aliowaita katika kikao maalumu, akisema wamepewa msamaha wa makosa yao ya awali ya jinai...
0 Reactions
5 Replies
97 Views
Stori ya kukamatwa na kuachiwa kwa kada wa CHADEMA inaacha maswali mengi sana. Kiufupi ni jambo linalonuka harufu kali ya usaliti. Pia kitendo cha Malisa kupokelewa na James Mbowe wa CHAUMMA...
2 Reactions
10 Replies
218 Views
Nikimuona mtu kama Bashite akiwa waziri katika Serikali, huku Tundu Lissu akiwa jela, naona ni mfano mwingine wa changamoto zinazotukabili kama Waafrika katika kutambua viongozi wenye uwezo na...
22 Reactions
70 Replies
572 Views
Tulikuwa tunasema hapa kuwa baada ya uchaguzi hali itakuwa mbaya. Pesa zoote zilichotwa kwa ajili ya kampeni, kulipa askari na wanajeshi mmoja mmoja ili wazuie maandamano. Kulipa wakuu wa jeshi...
5 Reactions
12 Replies
354 Views
Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia. Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
6 Reactions
45 Replies
363 Views
Mstaafu wa nafasi ya Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Philip Mangula, amezungumzia mchakato wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kukatwa jina katika...
1 Reactions
7 Replies
184 Views
Kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa...
27 Reactions
35 Replies
812 Views
Maslahi ya CCM kwetu ni muhimu sana kuliko maslahi ya wananchi, kwa kauli hii ni wazi CCM haiko tayari kuona Tanzania tunakuwa na katiba mpya ya wananchi, hii ndiyo CCM ya matajiri wafanyabiashara...
5 Reactions
8 Replies
228 Views
Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳. Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai. Mama...
14 Reactions
69 Replies
767 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…