Sitaki kuamini hii naomba isiwe kweli .
Gambo huyu aliyekuwa anamnyanyasa Lema
Gambo huyu huyu mpakaji wa Majungu .
Gambo huyu huyu ambaye alizuia hosptali ya Mama na mtoto isijengwe Arusha...
Tukielekea kwenye uchafuzi, hapa mji wa mawese huwa hatupoi, waha ndo mambo yetu haya.
Mchuano unaosubiriwa ni wa wakuitwa, Kijicho Upembe (Zitto Kabwe) vs Chawa Pro Max (Baba Levo). Hilo jina...
Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi.
Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa...
Tangu Lissu asemekane kuja na msimamo wa Chadema wa No Reforms No Elections, nimeona CCM wakihaha huku na huku kujaribu kupinga hili kwa nguvu zote. Hata hivyo, taratibu Watanzania wameanza...
Wananchi wamemchoka Mh Abood na misaada yake ya kuzika watu.kuna watu hutafuta clip ya Mbunge wao anachochangia bungeni hawakioni.
Tunajua wajumbe wakipitisha jina ameshinda kwa vile ni CCM,Sasa...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, ameikosoa vikali Serikali kwa kushindwa kushughulikia tatizo la ajira kwa walimu pamoja na uhaba mkubwa wa walimu mashuleni...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
kwenye mada.....
Hivi karibuni kumeibuka mjadala mkali juu ya kilichotokea jimboni kisesa ilipokuwapo ziara ya Rais na Mwenyekiti wa Chama...
Kama fununu kuwa Mpina kaondolewa asigombee ubunge,Bunge lijalo litakuwa la Watoa pongezi kwa viongozi kama waimba mapambia makanisani.
CCM tukumbuke kuwa wananchi wanaliona bunge la Sasa ni...
Asante Gambo , hakika tutakukumbuka Ila ndo hivyo tulitaka utuhudumie Ila haikuwa riziki .
Pamoja Sana katika upambanaji wako .
Nayafikiria maisha mapya bila vyeo sijui yatakuaje na mke wako...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya...
Ukiingia kituo cha treni ya SGR Dar es Salaam ili upate tikiti ya shs. 13,000/= utahudumiwa na wafanyakazi kama wanne ukianza na kaunta ya mapokezi ambaye hana kazi.
Ukienda dirisha la tikiti...
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na...
Kuna jumbe mbalimbali za maandishi zimeanza kusambaa kwenye page za wapinzani zikionyesha askari wa polisi wakilalamika kwamba baada ya kufanya kazi miaka 30+ wameambulia kikokotoo kisichozidi...
Mtu huyo hakuwa na sare za Askari Magereza na wala hakuonekana kama Karani wa Mahakama.
Katika Hali ya sasa ambako kuna Uvumi wa Tundu Lissu kutiliwa Sumu, ni vema hawa watu wasiohusika...
Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania
Umoja wa Ulaya (EU)...
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Tanzania Deus Kibamba ametoa tahadhari kuhusiana na kile alichokitaja kama "unono" wa kisiasa na kutokuwepo kwa uwiano wa mgawanyo wa maslahi ya kiutumishi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli Namkubali sana Rais Samia uchapa kazi wake, uhodari wake ,uzalendo wake ,uungwana wake na uongozi wake thabiti wenye kugusa maisha ya watu na kumuwezesha kila...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara, Chacha Heche, amesema kuwa hadi sasa chama pekee cha upinzani chenye uwezo wa kuibana CCM kisiasa na kulazimisha mawazo...