Mpaka sasa timu ya CCM mitandaoni ishapigwa tano bila na timu CHADEMA

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,120
Reaction score
871,374
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.

Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.

Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...
 
Kama Vijana wetu hawana hoja usingetokwa povu namna hii

Jumaa Mubarak 😁🇹🇿
 
Sidhan kama ni povu ila ni facts, look at mitandao ya kijamii users wanaelemea wapi, waliomo mule muda huu wanaunga mkono hoja ya lissu. Juzi tu mahakama imekubal kesi kusikilizwa mahakaman imekuwa shangwe social medias

CDm wamejipanga vizuri kipindi hiki, and this time wamewafikia mpaka audienfe ya nje.
 
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.

Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.

Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
Dah 🤣🤣🤣
Hivi huyu Kigaila si Mwanasheria huyu ?
Mbona kigeugeu hivi?
Sasa hata kama ukiwa na kesi yako si anakukaanga tu huyu ?
 
UVCCM tumewatuma field zinakopatikana KURA za Wananchi 😁🇹🇿
 
siasa za kuchumia tumboni, kupitia kwa FAL kutokea sisiem,, pombe na nyama, hivi haoni hata aibu??😂😂
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.

Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.

Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
 
Dah 🤣🤣🤣
Hivi huyu Kigaila si Mwanasheria huyu ?
Mbona kigeugeu hivi?
Sasa hata kama ukiwa na kesi yako si anakukaanga tu huyu ?
Kwakweli huyu km una kesi tegenea lolote, maana anaweza pokea mpunga. Km ney wa mitego 😂(according to da mange😂)
 
Back
Top Bottom