Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mh Mbowe aliongoza ziara ya Watumishi wa KKKT Machame waliokuja jijini DSM kimafunzo Ujumbe huo ulizuru Sharika Mashuhuri za Boko, Mbezi beach, Kijitonyama na Kimara...
0 Reactions
3 Replies
370 Views
Kwa Imani yangu, kwa hofu ya Mungu niliyonayo, kwa misingi ambayo nikuzwa na kujifunza na kwa itikadi ambayo nimeiamini, imenibidi kufanya uamuzi huu. Historia itatoa tafsiri sahihi ya uamuzi...
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Nimeshangaa sana ndugu Polepole kuhusisha kazi ya Balozi na uanachama wake wa CCM Polepole anajiuzulu Utumishi wa Umma lakini anasema ataendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM Polepole...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu, Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika? Mimi najua tu ni Kiongozi Mahiri, Mwanasheria na Mwanadiplomasia.
0 Reactions
6 Replies
389 Views
_WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO _ Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Charles Mwanziva amehitimisha kwa kishindo ziara ya kikazi Kata kwa Kata katika kata zote za Jimbo la...
0 Reactions
1 Replies
278 Views
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa. Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja...
4 Reactions
79 Replies
2K Views
Hii record imewahi kutokea lini katika historia ya nchi yetu? Hili si jambo la kawaida hata kidogo. Kama mtampa Moyo kwamba mama usiangalie nyuma songa mbele mnampoteza ndugu yenu. Huko mbele...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, amesema Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) la Ubungo Kibo walilokuwa...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wazanzibari wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika? Wanaruhusiwa kugombea uenyikiti wa vijiji na mitaa Tanganyika?
2 Reactions
7 Replies
445 Views
Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari huko CCM. Yaani baada ya harakati za kuua upinzani kushika kasi sasa CCM wameanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe Huyo Hamisi Mtutu anayezungumzia hapo...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Nalaani hatua yoyote ya Serikali, Taasisi au mtu binafsi anayezuia waumini kuabudu kwa hiari yao ndani ya Makanisa au mahali pengine pa Ibada. Waumini kuzuiwa kusali katika Makanisa yao ni za...
1 Reactions
4 Replies
348 Views
Chama Cha Mapinduzi(CCM)Kimekanusha taarifa zinazoesambaaa kwenye Mitandao ya Kijamii kuwa Kuna baadhi ya watia nia wa Udiwani na Ubunge majina Yao yamekatwa huku wengine wakifanikiwa Kupita...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Ushaghalabaghala wa mambo ndani ya CCM , ni kama tafrani inayotokea pale kipofu anapokuwa akimuongoza kipofu mwenzie kuipita njia Mpya. Na ndiyo maana watu wengi ndani ya CCM wanaishi kwa staili...
1 Reactions
12 Replies
490 Views
Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team". Bashiru nje❌ Majaliwa nje❌ Ndugai nje❌ Mpango nje❌ Sasa Polepole bado ana...
20 Reactions
39 Replies
2K Views
Kuna watu sasa hivi wanajadili kama Polepole kutuma barua ya kujiuzulu mtandaoni amefuata protokali! Yani karne hata barua ya kujiuzulu yenye maudhui na sababu kama hii ya Polepole iwe siri ya...
5 Reactions
15 Replies
530 Views
Tafakari tu bila kukaza fuvu.....tusome comment
0 Reactions
2 Replies
283 Views
Ukisoma mitandaoni, ukisikiliza maongezi ya watu waliowengi wanaongea mambo mabaya mabaya kuhusu CCM na viongozi huku wakionyesha kuwa watafurahi pale litakapowakuta la kuwakuta hasa hasa kwa...
0 Reactions
16 Replies
482 Views
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza...
34 Reactions
94 Replies
5K Views
Wakuu msikimbilie kupongeza kila kitu. Yawezekana Sura ya mzee mwili wa Kijana akawa amelazimishwa kutema tonge. Tujipe muda wakuu.
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Naomba nisisitize, kwa utaratibu wetu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mpaka sasa hakuna mtu ambaye ameenguliwa au kukatwa kama ambavyo inaripotiwa kwenye Vyombo vya habari. Nimeona wameandika huyu...
1 Reactions
10 Replies
910 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…