Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unafaidika na kanga? Baiskeli na Tisheti? CCM imekosa muelekeo. Tumuunge mkono shujaa wa Tanganyika Tundu Lissu Antipass tupate mabadiliko ambayo yataleta ustawi wa taifa letu
5 Reactions
14 Replies
523 Views
Mkia wenyewe wala siyo wa asilia, lkn unaonekana kuyatikisa majibwa. Kila mwanafamilia asilia wa kaya hii anajiuliza, kwann mkia huu bandia unatikisa majibwa kiasi hiki? Majibwa haya yatavumilia...
1 Reactions
2 Replies
356 Views
Wanabodi, Hii ni makala ya Kwa Maslahi ya Taifa, kwenye Nipashe ya leo Utambulisho Japo mnanitambua kama mwana jf mwenzenu, kwenye mada very serious kama ubatili wa Katiba na ubatili wa sheria...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
Historia ndiyo Darubini kali iliyomwibua mmoja wa Wanafalsafa wakubwa Ugiriki, ambaye anaweza kutwambia nini maana ya Ukweli na watu wakweli wa wananafasi gani Tanzania na Duniani? Aristotle wa...
5 Reactions
95 Replies
13K Views
https://youtu.be/8oVTtfCKXO0?si=PKh_LAr4ch4NzT-z Anasema: ➡Sababu alizozitoa sio za kidiplomasia, ni za hali ya kisiasa na utawala wa ndani ya nchi... ➡Tukio hili la kujiuzulu balozi ni la pili...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha. Nilijua Heche...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Tunakumbushana tu Waha wa Kigoma msije kuwachokoza Polisi wanaolinda Karatasi za kupigia Kura baada ya Vituo vya kupigia kura kufungwa na hata wakati wa zoezi la kupiga Kura Zitto Kabwe...
7 Reactions
18 Replies
613 Views
Kuna vitu wala havihitaji kuwa la saba C kuving'amua. Huyu anasema no reform no election akimaanish bila mabadiliko ya kweli hakuna uchaguzi na hawa wanaosema watalinda kura.. Hivi unalindaje...
1 Reactions
1 Replies
281 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu...
2 Reactions
166 Replies
8K Views
CCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule...
26 Reactions
61 Replies
4K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma imeondoa shauri la awali lililofunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Huu ndio ukweli ila hakuna aliejiuzulu kwasababu hawajakomaa kisiasa, siasa imekuwa biashara, hawakuandiwa kwa viongozi, hawasomi historia na zaidi wametawaliwa na tamaa ya fedha na madaraka na...
2 Reactions
4 Replies
274 Views
Nyinyi mnaotaka uongozi na madaraka hiki ndio kipindi chenu lakini jueni neno hili kwamba kamba yoyote iliyohusika ama kutumiwa kumnyonga mtu Hadi kifo au kumuua mtu na bila shaka kamba hiyo bado...
2 Reactions
0 Replies
272 Views
Tunakili kwamba zipo sababu zilizopelekea mwalimu Nyerere kupendekeza Dodoma kuwa makao makuu ya nchi na sababu kwa kipindi kile zilikuwa na maana zaid kuliko muda huu KWANZA TUKILI KWAMBA HATA...
10 Reactions
76 Replies
8K Views
Tunakumbushana tu Mlale unono 😀✔️
1 Reactions
10 Replies
760 Views
Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no...
1 Reactions
50 Replies
1K Views
Hata wakikuita uje ujieleze, USIJE MKUU , Tokomea zako hata US.
31 Reactions
99 Replies
6K Views
Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm...
9 Reactions
20 Replies
834 Views
Katibu mwenezi mkoa wa arusha Saipulani Ramsey aliwahi kuzungumza kabla ya mchakato wakupatikana kwa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge
4 Reactions
6 Replies
666 Views
Akizungumza leo Julai 14, 2025 na wanachama wa chama hicho, Kaimu Katibu Mkuu wa Bara, Benson Kigaila amesema mabadiliko yanayohitajika yatapiganiwa wakiwa bungeni badala ya kukwepa uchaguzi na...
2 Reactions
14 Replies
536 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…