Huo ndio ukweli hata angeingia Ndugai, Bashiru au hata huyo Polepole bado asingekubali kuishia 2025
Katiba siyo mjinga kuweka kanuni za mrithi wa Rais kwamba akirithi mapema atakwenda mihula 2 na...
Kiongozi wa Taasisi ya Vijana na Wanawake, Elvis John Makumbo alieleza kwa nini watu wengi wamejitokeza kuchukua fomu CCM, wakiwemo wasanii, waandishi wa habari na wafanyakazi kutoka sekta za...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali...
CDE Samson Kasara, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ukerewe katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza na wananchi, Kasara amesema amedhamiria...
Mchungaji ameongea kwa hisia kali, lakini ni muhimu tukumbuke kuwa tayari Rais Samia alishatoa katazo mahsusi tusichanganye siasa na dini
Katika mahubiri yake akiwa kanisani, mchungaji huyo...
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua...
Demokrasia yetu bado ni changa ndio sababu uliona mwenyekiti wa Chadema aliposhindwa kutetea Uenyekiti wake amesusa hadi Leo sasa mtu kama huyo akiwa Amiri Jeshi mkuu hawezi kuachia madaraka...
Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.
Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.
Wengine...
Wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 2024, JamiiAfrica kupitia Jukwaa lake la Uthibitishaji na Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck iliongoza juhudi za kudhibiti upotoshaji wa taarifa kwa...
Balozi Polepole aneweka wazi kuwa sababu za kujiuzulu katika nafasi yake ya ubalozi ni kuwa, serikali anayoitumikia haisimamii maslahi ya umma. Tuko katikati ya July na October haiko mbali...
Wakuu!
Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Chadema na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika inaendelea leo Mahakama Kuu, Kanda...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kuwa Operesheni Majimaji inayofanywa na chama hicho inalenga kuwaamsha Watanzania kurejesha thamani ya kura yao, ambayo amesema...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 katika Ofisi za Makao...
Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Makete mkoani Njombe kimevunja ukimya na kusema mpaka sasa hakuna mtia nia wa nafasi yoyote ambaye jina lake limekatwa
"Ukikatwa usinune" kauli ya Mwenyekiti wa CCM...
LIle genge la watia nia wa Chadema wa kutaka kugombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi wa mwaka huu, maarufu kama G55, wakati Chadema ikiwa kwenye harakati za NRNE kisha baadhi yao kuamua...
RAIS SAMIA AZALISHA LAINI MPYA 38M ZA SIMU NA WATUMIAJI WAPYA WA INTANETI 20M.
Hadi mwaka 2025 jumla ya laini 90.4M za simu zilisajiliwa kutoka laini 53M mwaka 2020 ikiwa ni ongezeko la 70%...
Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia Makini Taifa, Ameir Hassan Ameir, amesema kuwa endapo wananchi wa Zanzibar watampa ridhaa ya kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika...