Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,509
- 283,964
Maisha ni Kitendawili, huyu aliingia 5 bora ya mbio za Urais 2015.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Mzee wake anasemajeMaisha ni Kitendawili, huyu aliingia 3 bora ya mbio za Urais 2015.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Mama anifikirie na mimi awamu hii nile kwa urefu wa kamba yangu.MAma Samia amuangalie huyo kijana. Bado anatufaa serikalini.
Anakufaa kwa lipi?MAma Samia amuangalie huyo kijana. Bado anatufaa serikalini.
Rais hachagui wagombea ubunge.Majina bado hayajarudi, hadi raisi aweke saini na atoe maamuzi.
Anatufaa.Anakufaa kwa lipi?
Una pontentiality ipi ?Mama anifikirie na mimi awamu hii nile kwa urefu wa kamba yangu.
Kuna kamati Kuu! Anaweza kucheka zaidi MwishoniMaisha ni Kitendawili, huyu aliingia 3 bora ya mbio za Urais 2015.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Saamia anamuogopa Sana huo mwezi wa kwanza ndani ya CCM,kama Lisu nje ya ccmMaisha ni Kitendawili, huyu aliingia 3 bora ya mbio za Urais 2015.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Pole kwa kuibiwa. Nasikia uliibiwa mume. Je, Umesharipoti kwa balozi wa nyumba kumi hilo tukio la wizi ?Anakufaa kwenye serikali yenu ya mabasha... umenikera sana, majitu yanatuibia halafu mnakaa mnasifia sifia tu.. kummammae zako
Maisha ni Kitendawili, huyu aliingia 3 bora ya mbio za Urais 2015.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho