PreGE2025 Lissu anasafirishwa kuelekea Central Dar es Salaam

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,489
Reaction score
2,372
Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.

Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.

Wengine waliokamatwa wanaachiwa huko Mbinga.
Huenda wanataka kuzuia moto wa kesho Songea.
 
Akafungwe sasa kwa kesi ya uhainii, ana mdomo sana, atatoka mwezi wa 8 mwakani kwa dhamana baada ya mabwana zake wa kizungu kuja kumlilia
 
Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.

Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.

Wengine waliokamatwa wanaachiwa huko Mbinga.
Huenda wanataka kuzuia moto wa kesho Songea.
Mahinyira kajifucha wapi? Alisema Lissu hakamatwi lazima yeye akinukishe
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.

Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.

Wengine waliokamatwa wanaachiwa huko Mbinga.
Huenda wanataka kuzuia moto wa kesho Songea.
Wewe acha kulalamika huku JF nenda kamsaidie huyo Msaliti na mtetea ushoga Lissu. Tena amekamatwa mbele ya watz ambao anafikiri ni wafuasi wake kumbe wako pale kumchora tu!
 
Safi kabisa, hv ndo inavyotakiwa kwa wahujumu wa umoja wa taifa letu.
 
Wewe acha kulalamika huku JF nenda kamsaidie huyo Msaliti na mtetea ushoga Lissu. Tena amekamatwa mbele ya watz ambao anafikiri ni wafuasi wake kumbe wako pale kumchora tu!
Baada ya kuona polisi wakaufyata wanajua wakitiwa ndani hakuna kiongozi wa Chadema atawawekea dhamana wataozea ndani
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Tutaingia mitaani, maandamano yasiyo na kikomo kama Mwenyekiti hatapata haki yake ya dhamana ndani ya muda wa kisheria ikiwemo kusomewa mashtaka mbele ya hakimu mkazi Mkuu kuanzia saa 48 toka jioni ya leo 09 Aprili 2025
 
Back
Top Bottom