Humprey Polepole amesema Amani ni tunda la haki, na haipendezi chama chake cha CCM kutokuzingatia haki za watu, badala yake kinazungumzia amani pekee.
Amewaasa kurejea kwenye misingi ya chama...
"Siku inakuja, mtakipata cha mtemakuni na tunawafahamu, unajua wakati mwingine nyie ndio mnalazimishaga mambo tuje tuseme hapana sio tu watendaji, ninyi viongozi kwa matendo mliyofanya na ninyi...
Wakati akizungumza leo Julai 18, 2025 Polepole ameeleza kuwa mchakato wa kumpitisha mgombea uliofanyika Februari haukuwa sawa.
"Mchakato wa uchaguzi unafahamika, tunatangaza ratiba. Tukitangaza...
Mtia nia ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kinondoni, Joseph Boniface Mhonda, ametoa wito kwa wanachama na wagombea wenzake wa CCM kuwa watulivu na kuheshimu taratibu za...
Akijibu swali kuhusu kesi ya Lissu, Polepole amesema sheria zinambana hawezi kuzungumzia hiyo kesi sababu ipo mahakamani
Ameongeza kuwa, 2015 nilikemea kauli mbili nikasema kauli hizi si za...
Kuna jambo ambalo watu wengi hawaelewi vizuri — kwamba dhana ya Awamu katika tafsiri ya kisiasa inahusiana moja kwa moja na mtu binafsi, yaani Rais aliyepo madarakani katika kipindi husika. Kwa...
Katika vichochoro visivyo na jina, vipo vikao vinavyofanyika kimyakimya. Wenyeji wa meza hizi ni watu wanaojiona werevu wa kupanga mikakati ya “kuvunja ukimya” kupitia vitandao. Lengo? Kuishtukiza...
Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Kwa hatua hiyo, Kahoji anaungana na...
Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama...
Kuhusu kutoweka Francis Luumi ambae ni Mwenyekiti wa Bazecha Jimbo la Babati Vijijini na aliyekuwa Diwani wa kata ya Endakiso, Babati Vijijini.
Tarehe 16/07/2025 baada ya kesi ya Mhe. Lissu...
Wakuu!
Hatima ya wagombea waliopenya, kuliwa kichwa kuwekwa hadharani!
CCM inatarajia kutangaza majina matatu ya wagombea ubunge na udiwani kwa kila jimbo na kata ndani kuanzia leo, baada ya...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amesema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakuna utamaduni wa kuvuana nguo hadharani, bali kuna utamaduni wa kukosoana kwa lengo la...
"Kwangu mimi na wenzetu Watanzania kuahirishwa kwa Kura za Maoni ilikuwa jambo kubwa na la msingi kabisa kwasababu, Katiba inayopendekezwa ilikuwa mbaya"
"Naamini Katiba inayopendekezwa na Watu"
Inasekana ugomvi baina ya Mpina na viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu ndio chanzo cha jina lake kukatwa katika vikao vya Mkoa.
https://youtu.be/qN1T8rrBep8?si=64FCUMgEIb8iIE-T
Sijafurahishwa kabisaa na kitendo cha Mbowe kuungana na CCM kumshughulikia kisiasa Lissu, naamini kabisa haya yote anyopitia Lissu na CHADEMA ni mchoro wa Mbowe moja kwa moja.
Wengi...