Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitakuwa na utaratibu wa kuwakata wagombea bali kitateua wale wanaofaa kwa mujibu wa vigezo na taratibu za chama...
2 Reactions
3 Replies
433 Views
Maelfu ya wajumbe walimpitisha Samia na maisha yakaendelea. Kangedere kamoja ambako hakana impact yoyote kwa chama kametoa press jana sijui juzi Leo CCM wametoa notice watanganyika kwakuwa wana...
2 Reactions
8 Replies
554 Views
KILA MTU ANAISHABIKIA CCM KWA STYLE YAKE Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha. Hakika...
1 Reactions
1 Replies
221 Views
Kwamba inakuwaje kiongozi anayejiamini aogope hata kuchukua fomu ambayo anapewa yeye tu Peke yake, kulikoni? tena anayempa ni Katibu Mkuu aliyemteua yeye Mwenyewe! Utaratibu huu ni wa wapi na...
32 Reactions
70 Replies
4K Views
Asalam. Natumaini muwazima jamani nimeshindwa kuvumilia naomba niandike haya machache labda naweza kuliponya Taifa ama naweza zungumza na mtu kwa lugha fupi akanielewa. Hali ni mbaya ni mbaya...
16 Reactions
49 Replies
4K Views
Ama kwa hakika CCM inapendwa sana Watu 37,000 wanagombea Ubunge na udiwani Chaumma ina wagombea 55 tu 😂
4 Reactions
21 Replies
893 Views
REMOTE NI LAZIMA IWEPO – SWALI NI IKO WAPI NA KWA NANI? Katika mfumo wa kisiasa hapa kwetu mamlaka huwa hayatelezi hewani bure. ni mara chache sana huwa hivyo, huwa kuna mtu au kikundi...
0 Reactions
5 Replies
442 Views
Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta. Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Makalla: Mashinikizo ya watia nia kupitishwa, chama kitafanya uteuzi na wanachama watapewa taarifa. Mpaka sasa hakuna aliyekatwa au kufyekwa. "Kwamba kila kata waje waamke waseme tunamtaka mtu...
0 Reactions
2 Replies
227 Views
KUTOKA MAKTABA Katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM mwaka 2025, wajumbe kutoka pande zote za Tanzania walikutana kwa umoja na mshikamano mkubwa ili kufanya maamuzi muhimu kwa mustakabali wa Taifa...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Kwa mfumo wa Tanzania ambao chaguzi ni kiini macho tu. Unapofika wakati wa uchaguzi TISS ndo wanakuwa wameshika makali na mpini. Na ukizingua wanakumwaga tu na huwezi kuwafanya lolote...
24 Reactions
71 Replies
4K Views
Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ? Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM, kuna nafasi ukikaa unakutana na bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini, wengine wameshika makali. Kupata mgao wa milioni 50, 70, 100 bila msingi...
17 Reactions
74 Replies
4K Views
Ndugu Watanzania, Urais ni ngazi ya juu kabisa ya uongozi Tanzania, mtu anatakiwa kuishindania, lazima kujua ana maono na nia gani kwa Taifa, hakuna Urais wa viti Maalum, CCM wanatakiwa warudi...
15 Reactions
19 Replies
1K Views
Huenda Polepole hakuwa anaelewa dhana dhima ya karma katika maisha ya kila siku. Lakini kwa kuwa katika press ya leo mara kwa mara amemtaja mwenyezi Mungu, huku akisema yeye ni muumini mzuri wa...
2 Reactions
18 Replies
911 Views
Friends and our Enemies, Hakuna chochote cha maana alichozungumza popo pole pole zaidi ya pumba na kubwabwaja tuh. Unajua hawa the so called sukuma gang na masalia yao still hawaamini kuwa god...
9 Reactions
125 Replies
3K Views
Alipoamua tu kujitetea mwenyewe katika kesi yake ya uhaini, sheria na kanuni za kimahakama ikabidi zibadilishwe haraka haraka. Kweli binadamu hujafa hujaumbika!
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Kwanza. Huyu polepole hakusema anaongeA na kina nani!? Press yeyote lazima uwatambue watu wanaokusikiliza au hata kama hawapo(hewa) wataje. Kama alivyofanya Gwajima. Pili. Kwani nani kamtuma...
2 Reactions
86 Replies
3K Views
Kamati kuu ya CCM itakaa 26/7/2025 na Uteuzi wa wagombea utafanyika28/7/2025 Source Channel ten
1 Reactions
3 Replies
623 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…