Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,765
- 2,878
Makalla: Mashinikizo ya watia nia kupitishwa, chama kitafanya uteuzi na wanachama watapewa taarifa. Mpaka sasa hakuna aliyekatwa au kufyekwa.
"Kwamba kila kata waje waamke waseme tunamtaka mtu fulani, tunamtaka mtu fulani, tunamtaka mtu fulani. Ndiyo maana wakati ule wa kuchukua fomu tulisema msiende na matarumbeta, misende na maandamano kwa sababu kila mmoja angekuja na watu wake kwamba na sisi tuliongeza watu halafu mnaenda kujaji nani alikuja na matarumbeta mengi"
"Kwahiyo wawe watulivu chama chetu kitafanya uteuzi, watapewa taarifa kwahiyo watulie, hawajasikia kwamba madiwani wameteuliwa kwahiyo kokoye kule