Ufuatiliaji wa Chaguzi za Chama
Tunakuomba ufuatilie kwa umakini mkubwa mambo yafuatayo katika chaguzi za Chama, hasa wakati wa kupitishwa wajumbe.
Ni muhimu kuzingatia majina matatu ya madiwani...
Katika kila jamii yenye uongozi wa kisiasa, kuna wakati ambapo busara za wazee wa chama huzidi kuwa na thamani kuliko mbinu za kisasa za kisiasa zinazokosa maadili. Hili ni wito mahsusi kwa wazee...
Mwishoni mwa utawala wa Mkapa kuna hoja ziliibuliwa na watawala walio kuwa kazini na wastaafu nchi hii kuhusu hatima ya kizazi chao kwenye utawala wa nchi hii, Hofu yao ilikuwa ni kwamba huenda...
Mungu ulie tupa taifa zuri Tanzania chini ya mkono wa hayati baba wa Taifa Julius Nyerere tunakuomba tunakuomba maana kama Mwl angekuwa mlafi na tamaa angejimilikisha taifa zima na kuwa mali yake...
Mchana huu nimeona nilele wito kwa CCM ili kuweka mambo ya kisiasa sawa huko tunakoelekea.
1. Jambo la kwanza ni kuhusu Mugombea wa Urais.
Kikubwa ni kwamba - Mgombea urais hauziki kwa wananchi...
Wazo la Leo: Wananchi wa Tanzania wanataka mabadiliko; Watanzania wamekuwa wakitaka mabadiliko ya mfumo wao wa utawala kwa muda sasa. Ukiangalia utaona kuwa vijana wanaodai mabadiliko sasa hawana...
Ni kujidanganya tu kwa wanasiasa waliopoteza uelekeo na kukosa hoja kuwaza na kupiga mayowe eti kuna mahali kinaweza kutokea hiki au kile ili Dr.Samia Suluhu Hassan asiwe Rais wa Jamuhuri ya...
GT
Wakuu such a potential person una mficha kwa madhumuni gani. Huyu jamaa kama JPM angekuweoo lazima angepewa nafasi kubwa sana kusimamia serikali.
Najua kabisa moyoni ana majonzi analia kilio...
Dodoma – Januari 2025
Mwaka 2025 utabaki kwenye historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama mwaka ulioshuhudia moja ya mijadala ya ndani ya chama yenye mvuto mkubwa wa kisiasa, ujasiri wa ndani...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania...
Wakuu,
Katika dodosa zangu nimekutana na taarifa za huyu mwandishi ambaye anaitumia kalamu yake visivyo na kilichonishtua ni taarifa za kiintelijensia zinazoonyesha mwandishi huyu pamoja na...
NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo...
Wakuu,
Kuhusu kwanini Watanzania hawaandamani au kuungana pamoja kupinga uonevu unaoendelea nchini nadhani hii video imeelezea vizuri kwanini Watanzania hawafurukuti
Huyu mhadhiri ameielezea...
Polepole ameelea kuwa asingeweza kukosoa huku akiwa Balozi
"Mimi ni balozi kama nyie hamsemi mimi nitasema, lakini siwezi kusema nikiwa balozi. Mama huyu ananipa mimi kula na familia yangu...
Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake.
Mwalimu...
Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Shemsa Mohamed, wametakiwa kutumia busara, uadilifu na uzalendo katika kufanya teuzi za awali...
Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya...
Niliandika uzi ukadondoshwa....
Shida ni kuwa niliwasema mbogamboga bila kuwaficha,
Najarib niwasilishe nilichoandika kwenye ule uzi ulodondoshwa japo kwa ufupi as siwez tena kuandika uzi mref...
Samia hasubiri kuapishwa, tayari kaanza kutekeleza ilani, mpaka 2030 hii nchi itakuwa ulaya ndogo.
Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), inatarajia kupokea shehena ya mabasi...