Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na...
Chadema kimejijenga kwenye misingi ya matusi, chadema wanaamini wanapata wafuasi kupitia matusi siasa za kibangi bangi kitu ambacho siyo, viongozi wao wameshindwa kabisa kudhibiti matusi bila...
Hamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi(...
Kwa maneno machache kabisa ni kwamba "Kamati kuu imepoka madaraka na nguvu yenu ya kuteua wagombea ubunge huko mikoani na wilayani".
Maneno yaliyoongezwa yasomekayo "Isipokuwa kama kamati kuu ya...
Ikumbukwe kwamba jamaa alivyomtukama mwadhama Pengo eti anavaa pampasi Pengo alikaa kimya akamwachia Mungu apambane naye. Sasa laana imeanza kushika kasi. Huwezi kutukana mpakwa mafuta wa bwana...
Yaani watu akilini mwao wanadhani kwamba viongozi wa CCM wametoka form four wakajiunga na chama.
Mule ndani kuna watu wamepita kila nafasi unayoijua wewe mainjinia, watu wa afya, wahasibu, walimu...
Wakuu,
Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu, Nusrat Hanje amechukua fomu kuomba uteuzi kwa ajili ya kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hanje...
Salaam!
Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria,
Na kwa kuwa uhaini ni jambo...
Mapato ya Wachimbaji madogo yameongezeka mara nne (4) Mwaka 2021/22 chini ya Rais Samia.
wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo wa madini walichangia 20% tu sawa na TZS 124.6bn...
Salaam!
Nabii Tundu lissu amedai ikiwa ushahidi upo na wamedai upo , basi upelekwe Mahakama kuu,
Sasa DPP kudai bado hajaamua Nini kifanyike ni kinyume Cha Sheria na katiba.
Maslah ya umma...
JPM (RIP) alimpima akaridhika, nani anasema hatoshi, Alikuwa wapi wakati JPM anampa sifa zote hizi?
Anaesema hatoshi hayuko pamoja na JPM, akapimwe,
https://youtu.be/dHw20sg_WUk?si=LHPZy4bz-eT0btjW
Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana.
Ilitarajiwa kuwa Katibu...
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,
Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm...
Kwa mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa Jana tarehe 27/07/2025 Wajumbe hawana Nguvu tena ya kumpitisha Mgombea Ubunge/diwani wanayemtaka Bali kamati Kuu Taifa ndio itaamua Nani agombee...
Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa...
Dada wa mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh Munde Tambwe anayeitwa Khadija Tambwe alikamatwa jana na madawa ya kulevya ktk uwanja wa ndege wa JK Nyerere akiwa safarini kuelekea Uturuki.
Mpaka sasa...
Wananchi wametakiwa kushirikiana na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kulinda miundombinu ya shule iliyojengwa ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi mkoani...
Alooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili!
Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye...