Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa. Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wajumbeee oyeeeee Kichujiooo oyeeeeee Viloi.mlioachwaaaa badooo Mna hamu ya kukata rufaaaa?? @kizazikiteule Cc Furahaaaa ....oyeee
0 Reactions
1 Replies
202 Views
Huenda angeambiwa, Asingeenda, angemtuma Naibu Waziri tu !!. Kilichozinduliwa ,katika Teknolojia ya Uranium, ni Uhuni Mtupu
3 Reactions
3 Replies
476 Views
Uzuri wa CCM kila jambo hurekodiwa kimadhubuti kabisa Mlale unono 😄🙏✔️
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Ni mawazo tu, misiba itayotokea miaka kumi ijayo haitakuwa huzuni itakuwa ni furaha. Miaka hiyo ndio watakufa hawa walipo sasa ambao hawana jema la kufanya tuhuzunike sisi Gen Z. Ile kauli ya...
1 Reactions
8 Replies
450 Views
Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi, Kuna jumla...
1 Reactions
5 Replies
389 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu baada ya kuahirishwa Julai 15, 2025 inatarajiwa kuendelea tena leo, ambapo bado inasubiriwa hatua ya Ofisi ya Mwendesha...
15 Reactions
123 Replies
12K Views
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, Ramadhan Mahanyu amepiga marufuku matumizi ya mabango na vipeperushi vya watiania ubunge katika majimbo ya Moshi...
1 Reactions
2 Replies
382 Views
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Musalia Mudavadi amesema kufuatia Zuio la Serikali ya JMT kuruhusu Wafanyakazi wa vibarua kutoka Kenya kufanya kazi nchini humo mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa...
0 Reactions
11 Replies
677 Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali tele, kuwa ni nini hasa kipo nyuma ya ubunge? Kwanini watu wanaufukuzia kwa kiwango cha kutisha hivi. Unakuta mtu tayari ana uchumi mkubwa....ana miradi yake ipo...
2 Reactions
3 Replies
425 Views
Waziri wa Biashara wa Kenya Mh Kinyanjui amesema endapo mazungumzo ya kidiplomasia yatashindikana basi na wao watawafukuza wafanyabiashara wote wa kitanzania waliopo Kenya Imedaiwa Wachaga wengi...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Nchi ya Tanzania kwa sasa haina bunge, wala mahakama, Bali tuna Rais ambaye ndio Mungu wa Tanzania na Ikulu yake pendwa. Ufisadi uliofanywa kipindi cha pili cha awamu ya tano inawezekana na Mkubwa...
2 Reactions
2 Replies
288 Views
Viongozi wa matawi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Kata ya Kunduchi Wilayani Kinondoni wamefika katika ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam kwa kile walichodai kukatwa kwa jina la...
1 Reactions
8 Replies
660 Views
Huku ndiko wauaji akina Masaju et al wanataka kum subject Lisu! I am pretty sure Court of Appeal hawatakubali ushenzi huu as most likely case hii itakwenda mpaka Court of Appeal! Private...
0 Reactions
7 Replies
506 Views
Zawadi au Rushwa?
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Ukiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge . Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki. Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii ndio hulka na desturi ya historia. Uongozi wa umma haupaswi kutolewa kama sadaka. Hii mbegu wanayoipanda itakuja kuota na matokeo yake tutayaona. Hakuna sababu ya kuwapigia kura kesho spika...
21 Reactions
59 Replies
2K Views
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, ameahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hadi tarehe 13 Agosti 2025, huku akitoa onyo kali...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwandishi wa habari mkongwe na mtangazaji Salim Kikeke amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za...
18 Reactions
128 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…