Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kingereza ungeweza kusema how CCM underdeveloped Tanzanians for 60 years. Kwa miaka 60 chini ya CCM bado huduma za afya sio za uhakika Tanzania. Wamama wajawazito wanafariki kila siku kwa...
2 Reactions
5 Replies
683 Views
Wasalaam, Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
CCM bila kulazimisha watu na kuwasomba, kampeni zao zitakuwa na watu kiduchu. Mwacheni mama yetu wa Taifa alee wajukuu
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii hoja ya kufuta sheria kandamizi zinazonyima watu dhamana Ni yakuungwa mkono na kila MTANZANIA, wapo Wana CCM inawaumiza na kuwanyamazisha, wapo wapinzani na wapo wafanyabiashara ambao leo CCM...
2 Reactions
1 Replies
981 Views
Wanabodi, Mahudhurio ya wananchi kwenye Mikutano ya Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu (2020) haiwezi kuwa sababu ya moja kwa moja ya ushindi Ila angalau yanatoa picha ya mambo yatakavyokuwa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Ukifungua television bila kujua kama kuna kampeni unaweza kudhani ni hotuba za kawaida za JPM na sio kujinadi ili kuomba kura. Ulituahidi tukakupa miaka 5 ambayo tumeyaona hatuhitaji kuambiwa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Wasalaamu wanaJF tunaposema tufanye siasa za kistarabu na siasa za kweli tunamaanisha. Ni jambo baya sana kuona baadhi ya wanasiasa wanabakia katika mirengo ile ile ya siasa za ulaghai za miaka...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Uchaguzi wa mwaka huu umekuwa wa ajabu sana. Maana ukilinganisha na chaguzi zilizopita mwaka huu ni vituko na mambo ya ajabu sana. Okiondoa uchaguzi wa mwaka 2015 miaka ya nyuma wapinzani...
10 Reactions
108 Replies
7K Views
Miaka mitano CCM iliangaika na wagombea na viongoz wa upinzani nakusau kwamba uchaguzi unategemea kura za wananchi kuliko kura za viongozi. Baada ya miaka mitano Leo majimboni kumedoda hakuna...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana PCCB wamepiga marufuku mgombea wa chauma kutumia UBWABWA kwenye kampeini zake. Mzee Rungwe amekuwa anasema yeye atatumia UBWABWA kwenye kampeni zake kama CCM inavyowatumia wasanii kwenye...
23 Reactions
118 Replies
8K Views
Magufuli alijiamini sana kuwa mwaka 2020 atapata mserereko, tulimuonya kuwa tunapanga jeshi huko porini na siku likiingia field patatawanyika. Tukawaambia wafuasi wa CCM kuwa mwenendo wanaoenda...
54 Reactions
134 Replies
15K Views
Mgombea wa CCM anatoa rushwa waziwazi na hakuna anachofanywa na TAKUKURU ilikuwa WASANII sasa KATANGAZA AJIRA AKIWA KWENYE JUKWAA LA CAMPAIGN HADHARANI NA TAKUKURU HAMUUKAMATI NA MZEE WETU...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu Heshima Kwenu. Kwa hali ya siasa na kampeni zinavyoendelea ni wazi kabisa CCM itashinda kwa kishindo, kwa CCM mpya chini ya Dkt Magufuli CCM imesukwa vya kutosha iko imara na kwa uchaguzi...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni kawaida kwa mgombea wa urais John Pombe Magufuli kutoa maelezo katika sentensi zinazopingana. Amefanya hivyo tena Musoma. Amesema kuwa amekataa kupeleka maendeleo kwenye maeneo yanayoongizwa...
0 Reactions
5 Replies
612 Views
Chama cha NCCR-Mageuzi kinafanya uzinduzi wa kampeni pamoja na Ilani ya chama hii leo Septemba 05, 2020 kwenye Viwanja vya Zakheim, Mbagala jijini Dar es salaam. Viongozi mbalimbali akiwemo...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Ndio maendeleo mnayotaka kuleta kwa kuzalilishana majukwaani kiasi hiki tena mbele ya mgombea Urais wenu. Na yeye anabariku huu uhuni wa wanawake kufanyiwa uhuni na wanaume mbele ya hadhara?.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo Septemba 05, 2020 chama cha NCCR-Mageuzi imezindua Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, halfa iliyofanyika kwenye uzinduzi wa Kampeni za chama. Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi ndugu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu.kumbukumbu namba ya tarehe 29/08/2020 kutoka kwa ndugu Lazaro Stephano Maige ambaye tarehe 25/08/2020 aliteuliwa kuwa mgombea nafasi ya Ubunge kwa Jimbo la...
10 Reactions
112 Replies
14K Views
Dar es Salaam, Tanzania BERNARD MEMBE: NI UCHAGUZI WA KISHINDO Mahojiano na mwandishi S. Kubenea wa MwanaHALISI TV nyumbani kwake Mh. Bernard C. Membe Waziri wa Mstaafu wa Mambo ya Nje nchini...
9 Reactions
46 Replies
8K Views
"Mfumo wetu wa Elimu lazima uondokane na habari ya kufaulu mitihani pekee na utengeneze Watoto wenye maarifa, tutafanya mabadiliko makubwa kwenye Elimu ikiwa ni pamoja na kuboresha maisha ya...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom