Uchaguzi 2020 CCM haya ndio maendeleo?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Ndio maendeleo mnayotaka kuleta kwa kuzalilishana majukwaani kiasi hiki tena mbele ya mgombea Urais wenu.

Na yeye anabariku huu uhuni wa wanawake kufanyiwa uhuni na wanaume mbele ya hadhara?.

IMG_20200905_171354.jpg
 
Kampeni za CCM zimejaa burudani za mipasho, matusi ya nguoni na dansi za kungonoka. Hakuna sera za msingi za kisiasa.
 
Ndio maendeleo mnayotaka kuleta kwa kuzalilishana majukwaani kiasi hiki tena mbele ya mgombea Urais wenu.

Na yeye anabariku huu uhuni wa wanawake kufanyiwa uhuni na wanaume mbele ya hadhara?.

View attachment 1559588
Huu ni zaidi ya upumbavu. Tunatengeneza taifa ka kuhuni mno.
CCM haijawahi kuwa na uchungu na hii nchi.
Hivi hao watoto nao ni wapiga kura?
 
Bado ile ya kupigana mitama jukwaani mbele ya viongozi wao!! Kampeni za mwaka huu hazina jipya. Miaka mitano kafanya siasa peke yake, watanzania wamemkinai.

Ili kuwavuta tena kwenye mikutano yake, akaona njia pekee iwe ni kuwakodi wasanii njaa wa bongo fleva na bongo muvi. Mwisho wa siku ndiyo hao wanakamatiana na kupandishana n.y.e.g.e. jukwaani.
 
Hii ume edit vibaya,yani hata asejua anaona kabisa hii picha ni ya kuedit.
 
Ndiyo faida ya kuwakusanya waigizaji,wangekuwa wasanii wasingefanya ujinga kama huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom