Zile tambo za, We are Sovereign State, na Who are You, zimeanza kupungua.
Hakuna cha kufanya tathimini wala nini, mwachieni Lissu na mruhusu demokrasia iongoze nchi.
But we warned you no any...
Wanabodi,
Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa...
Dar es Salaam.
Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka...
Baadhi yetu humu, tena kwa zaidi ya miaka 20 sasa, tumekuwa tukiyasema yale ambayo Emmanuel Nchimbi kayasema jana kuhusu katiba.
Hivyo hakuna lolote jipya alilolisema.
Tunaweza hata kusema kuwa...
Kusaidia familia iliyofiwa ni jambo la ubinadamu na linapaswa kupongezwa. Hata hivyo, pale misiba inapogeuzwa kuwa uwanja wa mashindano ya kisiasa na njia ya kujijengea umaarufu, ni wakati wa...
Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo...
‼️ALERT ‼️
Muda huu huko Kilwa Madalali wamekusanya Watu wa CCM, wamewavalisha nguo za CHADEMA na kuwarekodi wakimshambulia Mhe. Heche kwa malipo ya laki moja moja.
Muda wowote kuanzia sasa...
Akihojiwa na journalist wa jarida la the economist, the worlds richest man and an african-american E.Musk, kaulizwa maswali 2 magumu, are you racist jibu ni resounding no, la pili are you...
Wakuu,
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina dhamira ya kuendeleza mchakato wa Katiba Mpya, akisema hadi sasa hakuna hatua zozote zinazoonyesha...
Tukiwa tunaimaliza Sabato!
Nchimbi yupo sahihi. Kauli yake ya pambanieni katiba ni sahihi.
Wenye mamlaka wao hawana shida na Katiba mpya kwa sababu wao yakwao yanawaendea. Katiba kwao sio...
Mtu Yuko ndani ya gari anakuambia tuendelee kusukuma tukiwa ndani litasogea TU . Tunashangilia tuanaacha kuliondoa gari bovu tuingiingize gari jipya lenye uwezo wa kutuvusha hapa .
Tunaamini...
Nikiri kwamba mara hii natumia MOYO badala ya UBONGO kuandika uzi huu.
Mashinikizo ya ndani na nje ya nchi hayawezi kuifanya Tanzania ipindisje au iachane na Katiba yake, sheria, mila, taratibu...
Akizungumza katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Julai 23, 2026, amesisitiza kuwa haki...
MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO
Mwenge wa Uhuru umewasili katika Wilaya ya Iramba ukitokea Halmashauri ya Manspaa ya Singida na kupokelewa rasmi na Mkuu wa...
Kwanza kabisa nawatakia wana Jf wote maandalizi mema ya Christmas.
Sisi makamanda tunaokwenda Moshi tuwe makini tusiwapelekee wazee wetu toleo jipya la covid 19.
Mwisho, Hongereni the so called...
Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya...
Mara baada ya Hayati Magufuli kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia sana.
Sabaya alivyokamatwa walishangilia...
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa.
"Sukuma Gang...