Edward Ngoyai Lowassa,Karibu ndani ya upinzani kwa moyo mkunjufu! Welcome sir!

paul milya

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
285
93
Kwa mtazamo wangu wa kuona na kusikiliza! Nimeona kabisa ya kwamba chama cha mapinduzi imemtema huyu member wao muhimu sana ndani ya chama cha chao cha mafisadi!

Namkaribisha huyu Ndg EL ndani ya vyama vya upinzani na atimize ahadi hii ya chama kubwa ya upinzani VUA GAMBA VAA GWANDA na bila ya kusita aje na aanike mambo yote ya kifisadi kwa jinsi anavyojua maana tuna imani anajua!

Sina mengi zaidi ya Mi binafsi ningependa kumkaribisha sana huyu Mbunge wa Wilaya ya Monduli katika vyama vya upinzani kwani utu wake umepotea kabisa ndani ya ccm!


Ni hayo tu!
 
Usilete umasai hapa.Ndiyo maana siku zote tunasema,wanasiasa wote ni wahuni pasipo kuangalia chama,kama kweli chadema kimedhamiria kuwakomboa watanzania,iweje leo mnataka mtaji wa kisiasa kupitia washenzi wachache kama lowasa,wanaoliangamiza taifa.Naamini kweli ccm haifai lakini hakuna mbadala wake
 
"Aaanike mambo yote ya kifisadi" WAKATI YEYE MWENYEWE NDO FISADI PAPA
 
Edward Lowassa na hata Fred Sumaye sasa ni liability. Nadhani CDM watakuwa wanarudia kosa kama walilofanya wakati wa kupokea makapi ya CCM kama Kaburu hata Shibuda na Lamwai. Lowassa kwa vile siku zote amejifanya mjanja si aunde chama chake apambane na wenzake? Kama CDM itampokea itakuwa imejivua nguo na kubakia kuwa chama nyumba ndogo kama CUF. Fisadi ni fisadi hafai kwenye mageuzi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hivi mnakumbuka kuna siku EL alitaka kutoa maamuzi magumu na akaweka na tarehe ya kusema hayo aliyoyataka kusema na baada ya masaa kadhaa akazuiwa na chama cha mafisadi asitowe kauli ile?

Je? Kwa mpasuko uliojionyesha ndani ya mafisadi ni nini kitamzuia kipindi hiki EL asiyaseme yale aliyokuwa nayo kitambo?
 
Kweli chadema ikimchukua huyu fisadi itakuwa imeharibu hii chama,
 
"Aaanike mambo yote ya kifisadi" WAKATI YEYE MWENYEWE NDO FISADI PAPA


Jile79 Mi ninachoona ni kwamba kuna mambo mengi kati ya Jk na EL na nahisi hawana muda na itafichuka kila ki2!
 
Last edited by a moderator:
EL si wa level ya CDM, anga zake ni za juu sana. Pendekezo hili la kipuuzi ni tusi kubwa kwake.
 
Kwa mtazamo wangu wa kuona na kusikiliza! Nimeona kabisa ya kwamba chama cha mapinduzi imemtema huyu member wao muhimu sana ndani ya chama cha chao cha mafisadi!

Namkaribisha huyu Ndg EL ndani ya vyama vya upinzani na atimize ahadi hii ya chama kubwa ya upinzani VUA GAMBA VAA GWANDA

Ni hayo tu!


Chadema hatumtaki, labda aende NAREA akaimarishe chama

Du!
Mnamnadi mzee wa mtandao kama samaki wa jioni!
Kweli siasa haina adabu!
 
Ngoromiko Si ajabu hata asipate chanzi hapo CDM mambo ya EL ni mabaya ktk jukwa lake la kisiasa amini usiamini!


EL si wa level ya CDM, anga zake ni za juu sana. Pendekezo hili la kipuuzi ni tusi kubwa kwake.
 
Last edited by a moderator:
KM GAZETI LA UDAKU aMANI
 

Attachments

  • lo.png
    lo.png
    45.2 KB · Views: 104
Hawezi kuwa kamanda anaweza kuendelea kuwa Fisadi huko huko kwa magamba wenzio,ukamada kazi sana sio mchezo,yeye hataweza kuhimili vitu vizito ama vyenye ncha kali.
 
Hakuna mtanzania asiyependa kuwa tajiri hata wale wanao mtaja mungu sana na kuwadondosha watu majukwaani wanatafuta utajiri kwa njia yeyote hata Naigeria wanaenda.Umaskini wenu ndo chanzo cha wivu wenu kwa Lowassa.Hakika mkiambiwa toeni ushahidi hakuna hata mmoja atatoa.Zaidi ya kuwashwawashwa tu ndo kunako wasumbua
 
Back
Top Bottom