Waliokuwa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Manyara, kwa kipindi kilichopita Regina Ndege na Yustina Rahhi wamefanikiwa kutetea nafasi zao kwa kuibuka kidedea kwenye kura za maoni.
Katika uchaguzi...
Tina Chenge mke wa Mzee wa Vijisent, Andrew Chenge, ameibuka kinara katika kura za maoni za kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalumu mkoa wa Simiyu, baada ya kupata kura 631 kati ya kura halali...
Baada ya CCM kumchagua ndugu Stephen Wassira kurithi kiti cha Kinana. Ameanza kutoa kauli ya kutaka kufanyakazi ya mwanzo kabisa ya maridhiano.....
CCM inadhani kuwa ikishakaa na CHADEMA...
Ndugu Mjumbe wa Mkutano Mkuu UVCCM Taifa, Naomba Kura Yako Ya Ndio, Mungu Akubariki Sana
Safari ya Uongozi. Moyo wa Jamii na DIRA NJEMA KWA VIJANA.
Tazama maisha, dhamira, na mchango wa DEBORA...
Wanachama 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa wameachiwa kwa dhamana Jumanne jioni Julai 29, 2025.
Wanachama hao ni wale ambao Jeshi...
Mtoto wa Celina Kombani, Lucy na Mkurugenzi wa zamani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Sheila Lukuba wameibuka kidedea katika kura za maoni za Jumuiya ya Wanawake UWT Mkoa wa Morogoro baada...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba ameshindwa kupenya katika mchujo wa wagombea walioteuliwa kupigiwa kura za maoni kuwania Ubunge wa Jimbo la Mwibara, mkoani Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini kimemsimamisha Katibu wa Kamati ya Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho, Odero Charles Odero kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma...
Mtiania wa Udiwani kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Maganga Maige akiwaomba kura wajumbe wa mkutano mkuu Kata ya Zingiziwa. Watia nia wa ubunge na udiwani leo wa Chama...
Kumekuwa na hisia tofauti kufuatia Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuahirisha kulivunja Baraza la Wawakilishi jana Juni 23, 2025 na kusogeza hadi Agosti 13, 2025 akisema ni kutokana na...
Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima.
Lakini usalama ni zaidi ya hapo
Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa.
Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya...
Wakuu
Aliyekuwa mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Godfrey Sitta Sukari, akitoa malalamiko yake dhidi ya viongozi wa Chama Mkoa na Wilaya akidai...
Mimi nawaza hivi taasisi nyeti za serikali kuna watu wameziua kimaksudi kwa kuajiri watu kiundugu au kwa utashi wa kisiasa! Pia napata shaka mamlaka ya vetting hivi kweli nchi hii hatuna watu...
Akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Usafirishaji wa Mizigo kwa SGR Kwala, leo Julai 31, 2025, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amesema "Niliona Watu walipoona Ridhiwani kapita bila kupingwa wakasema...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama...
ENOCK KOOLA AUNGWA MKONO ASILIMIA 90 YA WAJUMBE WOTE KATIKA JIMBO LA VUNJO – MWELEKEO WA USHINDI KATIKA KURA ZA MAONI ZA CCM
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
Katika mchakato unaoendelea wa kura za...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka makada waliokatwa katika mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya CCM Taifa kuendelea kuwa wanachama watiifu na raia...
Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama...
Tunapoelekea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kuna hoja nzito ya kutafakari kuhusu hali ya elimu kwa mpiga kura, mijadala ya uraia, na nafasi ya taasisi mbalimbali katika kusaidia wananchi...