GE2025 Aida Khenani: Kiburi cha utawala mwisho wake ni mauti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wanachama 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa wameachiwa kwa dhamana Jumanne jioni Julai 29, 2025.

Wanachama hao ni wale ambao Jeshi la Polisi mkoani Rukwa Julai 28, 2025 lilithibitisha kuwashikilia kwa madai ya kufanya mkusanyiko usio halali.

Akizungumza na waandishi wa habari Mbunge wa Nkasi Kaskazini (Chadema), Aida Khenani amewashukuru wanachama wote wa CHADEMA Mkoa wa Rukwa na viongozi ngazi ya Taifa kwa kuwa pamoja nao huku akisisitiza kuwa haki inapaswa kutendeka kwa vyama vyote bila kuwa na ubaguzi.

Aida na aliyekuwa diwani wa Itete, Albeto Kaliko ambao wote walijisalimisha kwa jeshi hilo hapo jana na kuachiwa, Alhamisi Julai 31, 2025 wanapaswa kuripoti polisi.

​
 
CCM ni sawa na miji ya sodoma na gomola enzi hizo, inapaswa iangamizwe kwa moto na ghadhabu ya Mungu iwake juu yao
 
Back
Top Bottom