Wabunge watakaofanya madudu wapigwe bakora?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,721
Ingawapendekezo la kutaka katiba iseme wazi kuwa wabunge watakaofanya madudu wapigwe bakorailipotolewa haikushabikiwa, ina ukweli kama si suto kwa wakubwa zetu. Jewanajamvi ingekuwa inawezekana katiba kutamka kuwa waheshimiwa watakaoboawarambwe bakora, nyinyi mngeshaurije? Leo nimeamua kuja na hoja nyepesi lakinitekenyeshi ili kuwapa fursa ya kufikiri bila kuumiza ubongo. Je mwaweza kutoaorodha ya wabunge ambao mngependa wachapwe bakora na kwa nini? Nadhani kwa vileJF ni gari kubwa, waheshimiwa huwa wanapita. Wakikuta majina yao lau roho nanafsi zao zitawasuta. Marehemu Abdallah Fundikira alikuwa wa kwanza kurambwabakora na kambarage.Mie napendekeza wa kwanza kuchapwa wawe Lowassana Chenge. Sababu? Ufisadi
 
Nadhani badala ya viboko vimepitwa na wakati ,wanyang'anywe tu Ubunge.Hatuhitaji wabunge mafisadi kwa karne hii.
 
Back
Top Bottom