Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, akitoa taarifa kwa umma kuhusu utekelezaji wa ahadi za Mhe. Rais na mafanikio ndani ya siku 100 za Serikali ya awamu ya sita, leo Tarehe 28 Januari 2025; katika...
0 Reactions
11 Replies
228 Views
Habari za wakati huu ndugu popote mlipo. Baada ya kukaa na kuwaza juu ya tukio la tarehe 29 October 2025 nimeanza ku-develop theory ambayo nimepata wakati mgumu kutoa hitimisho. Je, hili tukio...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Tunawakumbuka waliouawa, waliojeruhiwa, walioumizwa, waliopewa ulemavu wa kudumu na serikali haramu ya Samia siku ya tarehe 29/10/2025. Vijana GenZ na Watanzania wote ili kuwaenzi wahanga...
6 Reactions
4 Replies
159 Views
Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa ameikataa Bungeni taarifa iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum Sigrada Mligo, aliyesimama katikati ya mchango wake na kupinga kauli...
1 Reactions
1 Replies
183 Views
Miaka mingi sasa kumekuwa na trend kuwa budget bora ya nchi ni ile ambayo inazidi ya mwaka uliopita. Spending inaongezeka na badala ya makusanyo ya ndani yalioongezeka kutumika kuweka budget...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania iko salama, akieleza kuwa uimara wa Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama umeiweka nchi...
1 Reactions
7 Replies
190 Views
Kwanza iliundwa kimkakati sana Hakukuwa mjumbe hata mmoja nje ya cycle yao.. Wajumbe wote ni makada watiifu wenye maisha mazuri kupitiliza Pili jina lililopewa lilimaanisha kuinasua serikali na...
26 Reactions
55 Replies
1K Views
Mfano Wanasiasa wa Tanzania wanaongoza kumtaja mungu na kumuhusisha katika harakati zao za kisiasa ila ni waongo, wadhulumaji wa haki, wala rushwa na mafisadi kuliko. Fikiria watu wanajua kabisa...
2 Reactions
4 Replies
104 Views
Huo ndio ukweli Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Alitengeneza mamia ya vyama vya siasa ili kuidanganya dunia kuwa Congo kuna demokrasia na vyama vingi. Vyama vya siasa vya kidalali vilikuwa vinajifanya kushindana nae kwenye uchaguzi alafu...
6 Reactions
26 Replies
687 Views
Spika wa Bunge, Mussa Zungu ameitaka Wizara ya Maji kufuatilia sababu za kuendelea kutolewa bili za maji kwa wakazi wa Dar es Salaam licha ya kuwapo kwa uhaba mkubwa wa maji kwa kipindi kirefu...
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi inatarajiwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Soma pia PostGE2025 - Serikali ya...
1 Reactions
10 Replies
314 Views
Nchini Rwanda kuna falsafa muhimu sana inayotumiwa kumaanisha kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo na kuwalinda Wananchi na maslahi yao. Falsafa hiyo inapatikana kwenye neno Inkotanyi. Neno hili...
6 Reactions
33 Replies
684 Views
Bunge la Tanzania leo Jumatano, Januari 28, 2026 limewathibitisha wabunge, Deo Mwanyika, Cecilia Pareso na Najma Murtaza Giga kuwa wenyeviti wa Bunge. Watatu hao wamethibitishwa baada ya Spika wa...
1 Reactions
0 Replies
96 Views
Habari, nimeona mchango wangu huu niuanzishie uzi ili tujadiliane kwa mapana.. Mpaka tuufikie tunaouita ukombozi wa pili, basi tuna kazi na safari ndefu sana! Kama vijana tunaweza tukainuka na...
50 Reactions
998 Replies
61K Views
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria. Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable...
14 Reactions
42 Replies
903 Views
Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu...
2 Reactions
1 Replies
175 Views
Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai. Somo nililojifunza...
0 Reactions
7 Replies
134 Views
As the ICC prepares a landmark dossier on the 2025 massacres, President Samia Suluhu Hassan is trading state funds for Republican influence in a desperate bid to escape global pariah status. By...
5 Reactions
3 Replies
162 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…