Leo kulikuwa na sherehe za kutangaza matokeo ya SENSA ya idadi ya watu iliyofanyika hapa TANZANIA....Mhe RAIS ameongea mengi lakin lililonishangaza mimi ni pale BWANA RAIS anapowaomba wanaume wa...
katika hotuba yake ya uzinduzi wa matokeo ya sensa katika mkutano uliofanyika hapa mnazi mmoja,
na hapa namnukuu<<
Hivi katika nchi yetu hakuna jambo kuu la kitaifa ambalo viongozi wote yatupasa...
Baada ya Mwigulu Nchemba kusema kuwa Chadema iachane na ndoto za kuingia ikulu 2015 , wakazi wa wilaya ya kibondo mkoani kigoma wamesema nchemba aangalie jinsi wakazi hao walivyoikata CCM kwa...
Jamaa anaishutumu serikali moja kwa moja kuwa wananchi wa kigamboni hawakushirikishwa na ameshauri serikali warudi tena kwa wananchi ili wasikie wananchi wanataka nini
Jamaa ni mkweli na kwa...
Habari za mwaka 2012 wanabodi! Ningependa tujadili matukio hatari kwa upinzani mwaka 2012.
1.MGOMO WA MADAKTARI; Nakumbuka CHADEMA kiliunga mkono mgomo huo ambapo watanzania wengi...
Heshima mbele,jamii forum ukweli na uwazi bila kificho,,
katika mkutano mkuu wa ccm uliomalizika hivi majuzi Uliofanyika huko dodoma kizota kuna usiri mkubwa umetawala juu ya hotuba alioitoa rais...
Ndugu zangu,
Imekuwa ni utamaduni wangu kutuma salamu za Mwaka Mpya kwa wanakijiji wa Mjengwablog, marafiki zangu kwenye FB na wengine walio ndani na nje ya mitandao ya kijamii...
Eti kasema polisi wanaruhusu fataki zipigwe siku ya mwaka mpya ila kwa dakika 5 na kwa sauti ya chini..sasa utapigaje fataki kwa aauti ya chini?
Kwani ina silencer ?
Vitu vingine viwe...
Matokeo yaliyotangazwa na menyekiti wa sensa taifa yanasomeka hivi jumla tuko 44,929,002. Tanzania bara ni 43,625,434 na Tanzania Zanzibar ni 1,303,568. unaweza ukanifollow on facebook kwa maelezo...
Malengo ya cdm kwa mwaka 2012 hayakuweza kufikiwa kutokana na sababu zifuatazo:
.maandamano yasiyokuwa na malengo.
.mbio za urais 2015 zimekigawa chama .
.
Nimefunga ving'amuzi viwili kwa TV set tofauti, Cha ajabu chenga kibao.
Ukiwapigia providers wanasema mara geuza vile mara hivi. Lakini hakuna mafanikio!
Hivi kweli utafiti na maandalizi...
CHADEMA M4C-UK HATULALI MPAKA KIELEWEKE
NDUGU MAKAMANDA!!!
NI BUSARA TUPONGEZANE NA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTUJALIA KUVUKA MWAKA 2012 NA KUANZA MWAKA 2013, TUKIWA...
Mon, Dec 31st, 2012
Tanzania |
The Board of Directors of Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN) has appointed Mr Gabriel Nderumaki, the company's Acting Managing Editor effective December...
Kuna habari kwamba yule askari aliyepiga picha na Godbless Lema ametoroka Jeshini na anasakwa kwa udi na uvumba.
Can someone come out na aniambie kama yule kijana alikua amepiga pivha na Mbunge...
SIASA
Na Christopher Lilai, Liwale
Posted Jumatatu,Decemba31 2012 saa 10:43 AM
KWA UFUPI
Hayo yalitokea kwenye sherehe ya kumpongeza mgombea wa CUF, Jafari Nyimage aliyeshinda udiwani...
Kauli ya Zitto aliyotoa na kuelekezwa kwa Ben Saanane kuwa:
Natoka Kigoma, nimeaga kwetu! Kifo changu kikitokana na mkono wa Mtu, huyo hata panya hatabaki nyumbani kwao"
Haiwezi kupita hivihivi...
Amani iwe nanyi wanajamvi!
Nimelazimika kuja na hoja yenye lengo la kuwasaidia wale wote wanaoona wanachama wa CHADEMA wakiwa kimya licha ya kusikia na kushuhudia maneno, vurugu, rafu na...
Yakiwa Yamebaki Masaa Macheche Kuingia Mwaka Mpya Wenye Matumaini Mapya 2013 Basi Sina Budi Kutumia Nafasi Hii Kuwapongeza Wale Wote Waliochambua Hoja Za Wanamkataba Za Kina Jussa Maalimu Na...