sometimes kova anachemsha

sometimes kova anachemsha

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Eti kasema polisi wanaruhusu fataki zipigwe siku ya mwaka mpya ila kwa dakika 5 na kwa sauti ya chini..sasa utapigaje fataki kwa aauti ya chini?
Kwani ina silencer ?

Vitu vingine viwe vinasemwa na msemaji wa jeshi la polisi maana hii ni aibu..
 
Wewe unasema sometimes,kuna point yoyote unayoikumbuka kuwahi kutolewa na Kova?
 
Back
Top Bottom