ADC kuzikwa mapema mno?

ADC kuzikwa mapema mno?

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
858
Reaction score
131
[h=1][/h]Written by Ahmed Omar Khamis // 29/12/2012 // Habari // No comments


Mamia warejesha kadi Tanga mbele ya Maalim Seif.
Wanachama 50 Mkoani Tanga waliowahi kukihama chama cha CUF kwa kushawishiwa kujiunga ADC wamerejea CUF na kumkabidhi Maalim Seif kadi za chama hicho hadharani. Wanachama hao walisema kwamba walihadaiwa na kutapeliwa na Hamad Rashid kwamba atawapatia mikopo ya kujiendeleza badala yake wapambe wake walitoa masharti kwa kila aliyehitaji mkopo huo kutoa kiasi cha shilingi 25,000 lakini matokeo yake walitoweka na fedha hizo
 
Ni sawa na kuzunguka ndani ya chumba chako na mkeo mkicheza kidali po. Cuf to ADC to Ccm then back to CUF. Good.
Ndio maana nasema hawa watu wa pwani hawaeleki. Hata huko mtwara nyie ngojeni tu.
 
Back
Top Bottom