Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kweli nimeamini mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni usiku toka nje ukaangalie kama kweli kiza kimetanda Aliyekuwa kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere kipindi cha uchanguzi wa ndani wa chama chake hicho...
3 Reactions
15 Replies
894 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na...
6 Reactions
80 Replies
3K Views
Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, wamewasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana. Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala...
1 Reactions
7 Replies
774 Views
Mkuu Maalum wa chama cha ACT Wazalendo kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho kwa kupata kura 559 sawa na asilimia 92.3 ya kura 610 zilizopigwa. Aidha aliyekuwa...
15 Reactions
111 Replies
5K Views
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Nauliza tu katika kujiongezea maarifa ya taratibu za Uchaguzi Mgombea mwenza wa Rais wa JMT anakuwa na Fomu tofauti pale Tume Huru ya Uchaguzi au anaingizwa kwenye Fomu ya mgombea Urais? Maana...
1 Reactions
4 Replies
442 Views
Wasalaam, Ukisikiliza matamshi ya viongozi wa CCM wa sasa wengi utagundua kuwa hawa sio viongozi bali ni genge la wahalifu maana matamshi yao ni kuua na kupoteza watu kisa uchaguzi! ====...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Tunasahau haraka tu. Hata wakati wa mwanzo wa Kikwete bunge lilimtimua Zitto Kabwe sababu ya kuhoji tu Buzwagi imejirudia tu... Wakati wa Kikwete pia matamko ya kuzuia maandamano na siasa za...
74 Reactions
382 Replies
56K Views
Rais Samia ametumia TZS6.6Trilioni kukamilisha ujenzi wa Bwawa la Mwl Nyerere na kuifanya Tanzania kuwa na uzalishaji wa MW4,032 sawa na ziada au umeme usio na kazi MW740. Bwawa la umeme la...
5 Reactions
55 Replies
2K Views
Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza...
1 Reactions
11 Replies
596 Views
Nyakati zinakimbia sana! Miaka 10 iliyopita wakati wa kampeni za kumuweka madarakani John Pombe Magufuli, hayati Benjamin Mkapa alitupa tusi lenye kejeli ndani yake la kutuita malofa. Sijui nini...
0 Reactions
16 Replies
555 Views
CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM. Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
0 Reactions
3 Replies
263 Views
Prof Lipumba hatagombea Urais wa JMT October mwaka huu Sijui ameogopa nini? Mlale unono 😄🙏
5 Reactions
16 Replies
818 Views
Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana. Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka...
40 Reactions
143 Replies
11K Views
Polepole amemtaka Mnadhimu mkuu wa CCM Mzee Wassira kuyadhibiti Makundi ndani ya UVCCM kabla hayajaleta madhara makubwa zaidi Swali langu: Makundi ni Udhaifu au ni Afya kwa Demokrasia...
2 Reactions
8 Replies
530 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanza, Mhe. Rais...
20 Reactions
298 Replies
33K Views
Lengo na matamanio ya Jumanne Kaseja ni kuhakikisha Mwanae kipenzi anakuwa kocha mkuu mwaka 2030. Kwahiyo kelele sio kwamba hazisikii anazisikia vizuri Ila lazima maono yake yatimie.
4 Reactions
13 Replies
861 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…