Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Kichwa cha thread kinajieleza. Ninawatakieni nyote Heri ya Sikukuu ya Pentekoste. Ukaja Upepo kutoka Juu Mbinguni na Wote wakajazwa na Roho Mtakafu, haleluya! Tundu Antipas Lissu anaonekana...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Sio kwenye matukio ya kijamii, kisiasa wala kidini, Sumaye hajaonekana wala kusikika. Hatukuwahi kuzoea hivyo kwake. Kulikoni?
2 Reactions
7 Replies
463 Views
Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram == Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok. Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi...
19 Reactions
97 Replies
5K Views
Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda Haya 15:08 nimerudi tena...
-2 Reactions
6 Replies
810 Views
Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, leo tarehe 8 Agosti, 2025...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu...
4 Reactions
11 Replies
956 Views
Wewe dogo JF ni sehemu ya kuruka viunzi vya mtaani na wahusika kukupima uwezo wako. CCM ina vijana luluki kutoka vyuoni, inabeba watu kutoka sekondari na vyuoni. Kama umesahaulika huko; JF ni...
1 Reactions
14 Replies
475 Views
https://www.youtube.com/live/dn9GFRy874c?si=sThD_It5uyI8Jnm-
10 Reactions
70 Replies
6K Views
https://m.youtube.com/watch?v=c0npQqY3mbs&pp=ygUabWFndWZ1bGkgc3BlZWNoIGluIHN3YWhpbGk%3D R.I.P Magufuli Kazi ya mungu aina makosa.
2 Reactions
24 Replies
854 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amesema uamuzi wa Ndugai kujiuzulu Uspika wa Bunge mwaka 2022 iliweka heshima na ushujaa wa...
1 Reactions
14 Replies
786 Views
Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT 1. Anna Mgwira RIP 2. Maalimu Seif RIP 3. Benard Membe RIP SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana! Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana. Kuanzia juu...
68 Reactions
93 Replies
6K Views
Grace Martin naye kafiwa, poleni sana
1 Reactions
4 Replies
832 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila amesema; "CHAUMMA leo ni chama chenye wanachama wengi, kinaweza kuwa kinazidiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tu...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Mahojiano haya ya Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara (Bwege) alifanya mahojiano na East Africa Radio ambayo yalirushwa hewani Juni 10, 2025, aligusia kuhusu hali ya siasa inavyo...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu. Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Siyo lazima kila bwawa lenye samaki mmoja aliyeoza basi wote wameoza kama inavyosema methali JK na Mzee Sitta walifanya kazi nzuri tu japo walikumbwa na misukosuko ya kila aina Naomba niishie...
0 Reactions
9 Replies
448 Views
Siyo nia mbaya bali kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa "tuishi maisha humble" kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa. Tuwataje waliopitia maamuzi mabovu ya Job NDUGAI alipokuwa Spika wa Bunge...
9 Reactions
64 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…