Namna ambavyo mmeripoti matukio ya mtwara Masasi inatia shaka.iweje mlete sauti za waandishi habr badala ya picha na matukio halisi yalivyojiri ili watanzania waone .habari kamili.mnafunika kombe...
Nchi hii ni yetu sote watanzania. yaliyotokea katika siku za hivi karibuni, na yanayoendelea kutokea (huko masasi) si dalili njema hata kidogo kwa amani ya nchi yetu. ikumbukwe kuwa, 'hata mbuyu...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia siasa za chama chetu kongwe kabisa barani Afrika namaanisha CCM; nimefanikiwa walau , kupata machache ya kujifunza kupitia makada, viongozi na wahabiki wake...
Kuna maandamano yamefanywa na wananchi eneo la Dumila.
Chanzo ni mgogoro kati ya WAKULIMA na WAFUGAJI. Makazi ya wafugaji yamechomwa moto.
Mpambano unaendelea wananchi wamebeba silaha za jadi...
Fri, Jan 11th, 2013
Tanzania |
Top Tanzania Ports Authority (TPA) senior officials who were suspended last year pending investigations into various allegations including corruption and theft...
Sekretarieti ya CCM Taifa ikisafiri toka Dar kwenda Kigoma kwa usafiri wa Train, leo wamefunika Saranda wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, umati mkubwa wa watu umehudhuria na Katibu Mkuu Abrahamani...
ufika mbali ikiwa jitihada mahsusi zitawekwa
ili watu wa Taifa hili watoke hapa tulipo. Katika
maisha yangu yote nimeendelea kuamini toka
nilipopata akili zangu katika uwezo wa Taifa hili...
Je, unadhani dhairi shairi kwa mtazamo wako hiki tunachokishuhudia na kukisikia ni haki yao kudai ges itumike vipi na wapi?
Piga kura yako sasa!
1. Ges unakubali iende Dar es salaam...
Ni dhahiri tumeusahau utamaduni wetu,
utamaduni wa subira, ustahimilivu, umoja na kudumisha amani.
Sivyo tulivyorithishwa na Baba wa Taifa Letu.
Hebu tusimame pamoja, tuimbe tena, tudumishe...
MPANGO mchafu wa kukichafua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa umefichuka, huku Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philipo Mangula akituhumiwa kuratibu harakati hizo...
Mambo ndani ya usalama sasa yanakwenda vibaya, mpango wa kummaliza kabisa Dr Slaa umeiva.
Wakurugenzi wa usalama walikaa kikao chao wiki iliyopita na kufikia maamuzi ya kumuondoa kwenye sura ya...
Nikiwa mzaliwa wa MBOZI na mzalendo miaka kadha imepita bila kuwa na mbunge makini nikianzia enzi za marehemu HALINGA hadi leo tuna mbunge aliyekosa weledi katika masuala ya kiuchumi kazi kuunga...
Wana bodi salaam
Tangu sokomoko la gesi lianze sijasikia Sekretariet ya Chama cha Mapinduzi ikienda huko kusini kutuliza munkari wa wanantwara. Naamini CCM ndo inatakiwa iende huko zaidi ili...
Najivunia kuwa mtanzania kuwa kwenye nchi ya amani na utulivu,, asante chama cha mapinduzi kwa kutulindia amani hii ambayo muda huu usiku huu niko mbele nje ya nyumba yangu kutokana na joto...
jamani raia mlioko mtwara na watu ambao mna mawasiliano...wana mtwara hebu tupeni updates nini kinaendelea juu ya maandamano na vurugu zinazotokea huko maana kuna tetesi newala napo kumelipuka,,na...
Ndiyo wakuu , Heshima kwenu ! Baada ya M4C-KANDA YA ZIWA CHINI YA KAMANDA MAWAZO kuichakaza ccm Kwimba, sengerema na Mwanza kwa mafanikio makubwa, jana Mawazo ametua wilayani Muleba katika Kata...
Tanzania the time has come. A time of awakening. This is the time to think the unthinkable. A time to imagine the imaginable. The time to invent and reinvent, create and recreate, construct and...
Matukio ya vurugu na msuguano mkubwa unaondelea hivi sasa kati ya raia na wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi kama vile morogoro, mtwara, dar n.k ni ishara kuwa sasa nchi inatapika.,jamii...
Wednesday, 03 August 2011 23:11
NI IWAPO UCHAGUZI MKUU UNGEFANYIKA SASA ANGESHINDA.
Leon Bahati
MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Synovate yanaonyesha kwamba iwapo Rais Jakaya...
NOVEMBA 7, mwaka 2012 niliandika makala katika gazeti hili la Raia Mwema kuhusu uendeshaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali (kichwa cha habari; Maswali matatu muhimu kwa watu muhimu kitaifa...