Sekretarieti ya CCM Taifa ikisafiri toka Dar kwenda Kigoma kwa usafiri wa Train, leo wamefunika Saranda wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, umati mkubwa wa watu umehudhuria na Katibu Mkuu Abrahamani Kinana alitoa salam za Chama katika utekelezaji wa Ilani. Baada ya hapo alishiriki kula chakula na abiria wengine km kawaida.