Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa taarifa iliotolewa Jana na naibu mkurugenz wa habari na mawasiliano(Abdul Kambaya) Lengo la mkutano huo ni kumbu kumbu ya mauaji yaliofanywa na jeshi la polisi 27/01/2001 na watu...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Wanajamii, Si mara moja wala mara mbili tumewasikia viongozi mbalimbali wa Serikali na CCM wakilalalamika kuwa vuguvugu la Mtwara lisababbishwalo na Gesi, linachochewa na vyama vya upinzani...
8 Reactions
67 Replies
6K Views
Hoja ya kumaliza mgogoro wa gesi asilia ya Mtwara ni ya kujenga. Kwa hoja hii, Zitto alistahili kutoa taarifa yake leo pale Belmont Hotel. Lakini,hakuwa na haja ya kutaja anaojibizana nao au...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
migogoro inayoendelea mtwara ni vema ikatatuliwa kwa njia za diplomasia,na si kutumia nguvu. Viongozi wakae na watu wa mtwara , wawasikilize madai yao,wawaelimishe na nafikiri watawaelewa tu...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Wana jukwaa, Leo tar. 21/01/2013 nitakuwa LIVE kwenye kipindi cha HOT-MIX channel 5 (EATV) saa 11:00 jioni nitazungumza na Watanzania (Wanambozi) kuhusu mstakabali wangu wa kisiasa ndani ya...
15 Reactions
375 Replies
25K Views
Mwenda Bure si mkaa Bure wenye kumkejeli na safari zake za nje sasa watafedheheka ,kwani huo ndio muonekano wa kiwanja kinachotarajiwa kujengwa ili kukuza uchumi wa Nchi . Kiongozi, Taarifa yako...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
JUMAMOSI, JANUARI 26, 2013 09:41 NA KHAMIS MKOTYA MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Said Arfi, amewashangaa baadhi ya viongozi wenzake ndani ya chama hicho...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
  • Closed
Kipindi kinaendelea sasa hivi, Wameongea mengi sana, mzungumzaji mkuu amesema JF ni mali ya chama flani na imejaa upotoshaji kuhusu dini ya kiislamu, imejaa matusi yanayomtukana Rais wetu tena...
16 Reactions
382 Replies
23K Views
Huko nyuma Shirika la Fedha Duniani pamoja na Benki ya Dunia walishinikisa nchi yetu kujenga tabaka lenye kipato cha kati na juu, kama njia ya kukuza uchumi wa nchi yetu kwa haraka. Maelezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natoa masikitiko yangu kwa serikali ya CCM na uongozi wa juu wa chama kwa kushindwa kutatua matatizo yanayoendelea sasa na kuangaika na maandalizi ya kuzaliwa chama. Lawama zangu kwa viongozi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waandishi Wetu Toleo la 278 23 Jan 2013 M4C yawazindua makada Walimu, watumishi watishwa WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikijitanua hadi vijijini, Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shikamoo Baba Riz! Habari ya huko mtoni ulipo? Sisi huku hali si hali, Wadanganyika wameamka aisii! ila usiwe na wasi endelea kula kuku tu huko mtoni. Maana huku wambea wameanza mara...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huko nyuma Shirika la Fedha Duniani pamoja na Benki ya Dunia walishinikisa nchi yetu kujenga tabaka lenye kipato cha kati na juu, kama njia ya kukuza uchumi wa nchi yetu kwa haraka. Maelezo...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Mara nyingi CCM imekuwa ikihaha kuona vyama hivi viwili (CHADEMA na CUF) vinakufa ama vinasambaratika na kukosa nguvu. Hili litaipa unafuu CCM kwani itakuwa imepunguza msukumo has kwa madudu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Waheshimiwa viongozi wakuu wa vyama vyote vya siasa nchini, Kwa kuwa yanayoendelea mkoani Mtwara kuhusiana na suala la gesi yamefikia hali mbaya kiasi cha kuharibu mali na kupoteza uhai wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 26 NA 27 JANUARI 2013 Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itafanya mkutano maalum...
14 Reactions
59 Replies
5K Views
Juzi Nikiangalia TV YA TAIFA YA ZANZIBAR katika sherehe za maulid ya kitaifa kupitia mfumo mpya wa DIGITAL (Kingamuzi) Nilishudia Master of ceremon akimkumbusha rais shein ambae alihudhuria...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa sasa taifa lilipofika sidhani kama watu watakuwa wakifikiria utaifa mbali na maslahi binafsi kulingana makundi kama vile dini, ukanda, ukabila, wenye pesa, mafisadi,wafanyabiashara,wasomi na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Chadema wamejitokeza kuhamasisha watu wa Mtwara tusikubali ujenzi wa bomba la gesi. Waziri kivuli wa Nishati na Madini wa Serikali hiyo Mhe Mnyika ametoa matamko ya kuunga mkono hoja za watu wa...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Alhamisi, Januari 24, 2013 05:59 Na Sarah Mossi, aliyekuwa Zanzibar *Karume alimweleza Nyerere matatizo ya Muungano, lakini hayakujadiliwa WAKATI mjadala kuhusu muundo gani unafaa katika...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…