GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Ningetegemea kusikia lolote kutoka kwake, ningetegemea kumuona hata kwenye TV akizungumzia hili lakini toka wakati wa maandamano na mikutano ya Mwanzo sijasikia lolote kutoka kwake, Pengine kwa kuwa vyombo vya habari ni vingi nimeshindwa kujua wapi kazungumza. Naomba mnijuze yuko wapi huyu KANALI SIMBAKALIA?