Ndugu zangu,
Kama Bob alivyoimba ndivyo nilivyojisikia asubuhi hii hapa Dodoma;
" Rise up this morning, smiled with the rising sun"- Bob Marley
Naam, nimeingia Dodoma jana usiku. Leo asubuhi...
By Elisha Magolanga, Florence Mugarula
Dodoma/Kigoma. An exchange of blows between some ruling CCM carders and those of the main opposition Chadema almost spoilt the countrywide celebrations...
Si suala geni kuwa hawa ni wanasiasa vijana ambao aina ya siasa zao haipokewi vizuri na jamii. Hawa ni vijana ambao hata kama unakinzana nao kiitikadi ukweli unabaki pale pale kuwa wako katika...
Kiukweli viongozi wetu wanafanya kazi kwa kunyenyekea hasa kiongozi wetu Rais jk,leo tar 3 mh harison ambae mimi ndie na mheshim katika utendaji kazi wake,leo hii katika kushelekea miaka 36 ya ccm...
Zitto, naibu katibu wa chadema ambae hivi majuzi amewaaga wana wa chadema kigoma kaskazi baada ya kuongoza jimbo hilo katika vipindi viwili tofauti,taarifa za ndani sana zinadai sasa amerejea...
Jana katika mitandao tofauti ya kijamii kiongozi mmoja mwandamizi wa chama tawala ccm aliweka picha za watu waliohudhuria sherehe za chama huko kigoma ,kwa kichwa cha habari " hii ndio nguvu...
Wasalaam wana JF:
Ni kitu gani kinachokufanya ujivunie kuwa mwanachama wa chama chako cha siasa?(Ikumbukwe kuna vyama vingi sana hapa tz) na kila mtu anasababu zake za msingi zilizomfanya...
Hiki kituo cha Television cha taifa kwa kweli hakitutendei haki watanzania, tunajitahidi sana wakati mwingine tuachane nacho lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya taarifa hasa matangazo ya moja...
jamani wana jf nimebahatika kuyaona maandamano ya ccm arusha hapa maeneo ya makao mapya wakitokea kilombero hakika ni vituko.
Kwanza wanaona aibu kutembea alafu wananchi wengine ambao siyo wana...
Akihutubia katika kilele cha sherehe za miaka 36 tangu kuzaliwa kwa CCM, amewaasa wana-CCM kuendeleza mradi wa kuimarisha chama bila kutegemea ruzuku za wabunge kwa kuwa idadi ya wabunge wa CCM...
​Bungeni patamu!
Muda mfupi uliopita mama Anne Kilango amemaliza kuchangia hoja ya jinsi gani vijana wasaidiwe kupata ajira. Kama kawaida yake ameirarua serikali.Amesema kuna siku amesafiri...
kitendo cha wanaCCM kung'oa bendera za CHADEMA wkt wanapofanya mikutano yao ni mbinu chafu za kuitafuta CHADEMA kufanya fujo ktk mikutano yao ili CHADEMA ichafuke mbele ya Watanzania. Ni bora cdm...
Tanzanians want the new constitution to demonstrate that members of parliament have a first degree as minimum qualification to join the House, saying this will allow them to effectively carry...
Mkutano wa CCM wilaya ya Meatu umesambaratika baada ya nyuki kushambulia na kujeruhi watu wakiwamo viongozi wa CCM wilaya hiyo na wajumbe wa NEC.
Ndo tuseme ni laana au ni nini?mpaka wanyama na...
Sisi Vijana wa NCCR-mageuzi tunauungana na mwenyekiti wetu wa chama Taifa ndugu James Mbatia katika hoja yake binafsi ya Elimu aliyowasilisha bungeni, kwa kuongezea yafuatayo: Kimsingi suala la...
CHADEMA ikiongozwa na kamanda Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa wamekabidhiwa kiwanja cha ekari 3 cha kujenga hospitali ya Mama na Mtoto. Hii ni utekelezaji wa...
Rate This
Imewekwa na hamed Mazrouy
Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa Cuf Juma Duni Haji akizungumza katika mkutano wa Hadhara wa Chama hicho.
Chama cha Wananchi CUF kupitia Mkurugenzi wake wa...
nilifuatilia vurugu za mtwara na mwitikio wa serikali katika kukabiri vurugu hizo.kwanza,ilipoonekana polisi hawatoshi kule mtwara mjini,walipelekwa askari polisi wa kutoka...