Arusha: maandamano ya wana CCM kichekesho

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
3,840
Reaction score
661
jamani wana jf nimebahatika kuyaona maandamano ya ccm arusha hapa maeneo ya makao mapya wakitokea kilombero hakika ni vituko.
Kwanza wanaona aibu kutembea alafu wananchi wengine ambao siyo wana ccm wana waangalia wanashanga kwa sababu ni muda sana awajaona rangi za kijani kwenye mitaa na wengine nimesikia wakisema hivi chama kipo? Ikanibidi nicheke sana
 
Tutafurahi kama ukitupia angalau kapicha kamoja
 
Ulafi wao ndio unao wafanya wa zalilike,siwanapenda kula kula sana wako huko kimasilahi zaidi sio kua wanakipenda ila ni uroho tu wa vitu vidogo vidogo. Tuwaombeeni kwani hawa ni wenzetu watakuja kustuka
 
hakuna picha uliyochukua ukatupatia hapa mtandaoni?
 
Back
Top Bottom