waziri wa elimu shukuru Kawambwa amewasilisha mtaala halisi wa elimu wa mwaka 2005 hapa nchini ambao umegawanyika katika sehemu tatu.
1.mtaala wa elimu ya chekechea
2.mtaala wa elimu ya msingi...
Unaweza kumfuatilia sasa. Anasema bunge linaongozwa na kanuni zilizorekebishwa mara ya mwisho 2007! Anasema tujiulize mbona 2000 to 2005 Spika alikuwa mwenyekiti, 2005 to 2010 akawa naibu spika...
Bado CCM ina uwezo wa kuendelea kuiongoza nchi mya watanzania katika uchaguzi mkuu wa 2015, hii inatokana na vyama vya upinzani kutoonyesha nini mwelekeo wao kujenga nchi, zaidi ya wakati mwingi...
Leo katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania waziri wa mambo ya ndani ya nchi Vuai Nahodha ametoa taarifa za operesheni ya askari wa Afrika Mashariki kufanya mazoezi kwa pamoja.
Hii...
Nasema hivyo kwa sababu katibu mkuu wa CHADEMA ameagiza kama spika hatashulikia rufaa za wabunge wake basi wabunge wake hawataheshimu adhabu yoyote itakayo tolewa na kamati ya Bunge uongozi. Na...
Note: Phillipe Wamba alifariki Septemba 11, 2002, Kenya. (Imetoka hapa)
Philippe Wamba
" This book is about my own journey along the fault lines of African - African American relations and...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu mstaafu,Mzee David Cleopa Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana jioni
(picha Rashid Ngurungu-Ikulu)
Jana wakati umehitisha kikao na waandishi wa habari, tamko lako la kwanza ulilolitoa ni "KULAANI" vurugu zilizotokea bungeni juzi. Bahada ya kuongea sana bila kuwataja hao unaowalaani, ukamalizia...
Siku ya Ijumaa manajement ya TTCL ilivunjwa yote na kuwekwa nyingine...
Waliondolewa kabisa ni CEO Ndugu Said Said kwani alikuwa ameshafikisha umri wa kustaafu lakini walikuwa wanajiongezea...
Nimejaribu kadiri ilivyowekezana kufanya utafiti wa mtandao wa kutosha kujaribu kutazama kama kuna uwezekano wa kupata majibu au ushahidi wa vitu 2 muhimu katika n'gwe hii ya muungano.Vitu au...
5/Feb/2013 Naibu katibu Mkuu ccm Mwigulu amehutubia wananchi wa mjini Bukoba na kushambulia upinzani.Kwamba mwisho wa Dk Slaa ni 2015 wale wanaomuona akiapishwa Ikulu wanavuta ban...kuwa safari...
Hon: Kingwangala,
I am cordially writing to thank you for your prompt and candid response in regards to my invite for a serious debate. First and foremost, allow me to set the record straight...
please TANZANIANS let us fight strongly so that we can save our country as soon as possible from this kind of colonialism so that our next gereration can come and enjoy the fruit of our...
Imeandikwa kwenye facebook page yake ya http://www.facebook.com/TeamHamisiKigwangalla
Mhe. Dr. Hamisi Kigwangalla (Mb., Nzega) atawasilisha hoja yake binafsi, mbele ya Bunge la JMT siku ya Ijumaa...
Haikubaliki kuligeuza Bunge kibogoyo
Katika mkutano wa 10 unaoendelea mjini Dodoma tangu wiki iliyopita, umma umepigwa na butwaa kuingiwa na fazaa kubwa kutokana na mwenendo wa mambo ndani ya...
Wabunge wa Upinzani wameamua kusimama wote kupinga unyanyasaji wa Ndugai kwenye hoja ya Mnyika.
Sasa hakuna kinachoendelea wanaimba CCM, CCM, CCM........
Magazetini
Mtanzania - Jan 05, 2013...
Kwanza napenda kuwasalimia wanajamii wote.
Kubwa hapa ni kuwashukuru wahusika wote wa jamii forum kwa kuniwezesha kufikisha kero na maombi yangu kwa Mbunge wangu Ndugu John Mnyika kuhusu hali...
Mwenyekiti wa bunge mh. Zungu amechemsha ndani ya bunge alipomwagiza waziri wa mambo ya nchi za ndani apokee ushahidi uliyotolewa na mbunge wa CHADEMA kuwa wanajeshi wamevunjavunja watu huko Ukerewe,
Najitokeza asubuhi hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa Wabunge wote wa CCM(wakiwemo pia Mawaziri,Manaibu Mawaziri,Spika,Naibu Spika na Mwanasheria Mkuu wa Serikali).Mnafanya kazi ya 'kutukuka'...
Ili kuleta maana ya Bunge na kuondoa uccm na ugamba kwenye kiti cha uspika napendekeza wabunge wote wa Upinzani wajiuzulu ili uchaguzi mpya uitishwe na nina hakika ccm hawataweza kuiba kura...