Katibu Mwenezi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, Pascal Anthony, amemshutumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kwa kukiingiza chama hicho kwenye mpasuko mkubwa, kukataa maridhiano, na...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA DKT. NASRA NASSOR
Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Yah: Ombi la Kupata Ufafanuzi Kuhusu Maendeleo ya Utekelezaji wa Sheria ya Baraza la Wataalamu wa Kemia...
Sakata la kisheria linalomkabili mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limeendelea kuibua mijadala mipana nchini baada ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la...
Tuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu.
Kwenye Ulingo wa Siasa za Chama Tawala na Vyama Marafiki( Tanzania Tunaviita Upinzani) Ukimsikia Mtu anajiita Mwanaharakati tena yupo nje ya Mipaka ya...
Mwenyekiti wa Tanzania peace foundation Taifa Godigodi sadick amewataka Watanzania kuwa makini na taasisi zisizo za kiserikali (NG'Os) zinazojivika mwamvuli wa kutetea haki za binadamu kwa kulinda...
My friends ladies and gentlemen,
Sasa ni wazi,
upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo...
Hotuba ya Hayati Mwalimu Nyerere mwaka 1995 kuelekea uchaguzi Mkuu
"Wako viongozi wakishindwa kupata sifa, kupata kura kwa sera, kwa kusimama, 'Wananchi tuchagueni kwa sababu mkishatuchagua...
Chapter 1
The Righteous Shall Live Long: Zambia's Presidential Legacy, Biblical Wisdom, and Tanzania's Democratic Crossroads
Abstract
The political history of Zambia offers one of Africa's most...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amedai kuwa jumla ya viongozi 51 wa chama hicho wamekamatwa na Jeshi la Polisi ndani ya siku mbili katika kanda...
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa...
Sasa hivi, mitandao ya simu yote imekuwa shida, lakini tatizo kubwa lipo kwa mtandao wa Vodacom, mara simu haziendi, mara message haziendi, mara internet inakuja na kupotea.
Wanasema matatizo...
Mwamko wa sasa baada ya kesi za uongo za ugaidi wanazofunguliwa viongozi wa Chadema Unatisha
Unaambiwa hela zinamiminika kuliko mvua za elnino
Hebu angalia hill fuba lililochangwa hadi sasa...
Enzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana, wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda, kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa...
Asitutoe kwenye reli, uwajibikaji wa matukio ya utekaji, utesaji, ulawiti, mauaji na kesi za kubumba ulioanzishwa na kuendelezwa hadi leo na vyombo vya dola ni CCM yeye akiwemo
Mauaji ya kimbari...
Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa...