Abdulrahman Kinana Na Artumas

LeoKweli

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
335
18
Abdulrahman Kinana Kaingiaje Artumas, Naona Ni Director Pale, Kuna Mtu Ana Wasifu Wake.....kibiashara

Chanzo: artumas.com

===========
UPDATE:

Tovuti hiyo juu haifanyi kazi kwa sasa, lakini kuna habari hii iliandikwa 2009:

Mnazi Bay gas-to-electricity firm sacks locals from board

By Orton Kiishweko and Jube Tranquilino, Dodoma | 2009-April-30

Uncertainty hangs over the 300MW Mnazi Bay natural gas electricity project following revelations in parliament of 'wrangles' with in the Artumas Company.

The parliament has been told of a wave of changes effected in the company recently that has seen the Tanzanian board members, 'leaving the government's investment in the project with no close watch.'

According to Mchinga legislator, Mudhihir Mudhihir (CCM), who was also a board member since 2006 until recently, the Artumas company country manager was recently dismissed under tight orders as majority of the local employees have also been laid off.

The project, which is intended to connect the southern regions of Mtwara, Lindi and Ruvuma to the national grid, has the government's injection of Sh14.5 billion as a partner with the company in charge.

And President Jakaya Kikwete has in the past said the inclusion of Tanzanian on the company's board is to protect the country's interests.

MP Mudhihir also told the National Assembly of how the company's president Steve Marson was sent packing by the board and the Tanzania country manager Peter Gathecole dismissed under tight security from interrogators sent from South Africa. He equalled the dismissals to coups.

The move also came with the laying off of most of the Tanzanian employees and the country board members in the company in March this year.

Those laid off from the country board include Arnold Kileo, Abdulrahmani Kinana, Raynaild Mrope (Masasi - CCM) and Mudhihir.

Legislator Mudhihir made his remarks while debating the Parliamentary Accounts Committee ( PAC) and Government Accounts Committee (LAAC) reports presented by chairpersons John Cheyo and Dr Willibrod Slaa respectively.

"As we discuss this, there are conflicts with in the Artumas company that produces electric power at Mnazi Bay where the government has also invested," said Mudhihir.

"The company's country manager has been dismissed under tight security. We, who were on the board have already been dismissed and majority of the local workers have been laid off. So that leaves the government's investment in the project with no closer monitoring," he said.

But shortly after the evening session, Mr Mudhhiir told journalists outside parliament that the country board members' one year contract was not renewed after their one year term ended in March.

"It is when we wanted to renew our contracts, they pre empted us by informing us that the contracts had been terminated, which set stage for the project not having any Tanzanian board member," he elaborated.

The Mnazi Bay gas project worth Sh140 billion gets gas explored from Msimbati in Mtwara district.

The government contributed Sh14.5 billion to enable the local users pay rates as those charged by Tanesco.

The government had intended that Mtwara based gas to electricity project currently earmarked for Lindi and Mtwara, benefits a wider section of the country and possibly, export power to beyond Tanzania borders.

Earlier this year, Barrick International withdrew from financing the project which, observers said, could have dealt a serious blow to medium-term plans to bolster the national power grid.

Barrick and Artumas, all Canadian multinational companies with extensive interests in the country, planned to invest $400 million (Sh520 billion) and $500 million (Sh650 billion) respectively, to generate and transmit 300MW of electricity using natural gas harnessed by the latter at Mnazi Bay.

Tanesco sells a unit at $8 cents while a unit at Mnazi bay, without the government's support costs $12 cents, thus government has to part with $4cents per unit.
 
Hii kali!
Sasa si unaona ni watu binafsi wanauza nchi?
Viongozi wakuu wa NCHI MKO WAPI?
NB: Hii kampuni ni ya kusaidia watoto ama ni ya kuchimba MAFUTA?
Na hapa nchini kwetu mafuta yako sehemu gani?
 
Operations
Tanzania
tanzania.gif
Mainland Area:945,087 Square Miles Population:Approximately 37 million Government:Democratically elected republic
Untapped Potential
Tanzania has been intermittently explored over the last 50 years with most multinational petroleum companies being present, at one time or another. So far only 35 exploration and development wells have been drilled in 280,000 square kilometres of hydrocarbon potential sedimentary basins.
Doing Business in Tanzania
The Government of Tanzania is encouraging the oil & gas upstream sector to produce local resources to reduce Tanzanias reliance on imported petroleum products. Artumas management has established strong relationships with the highest level government officials in East Africa through the Companys continuing commitment to its gas-to-electricity business plan. These relationships, combined with the Companys knowledge of the region and its ability to address some of the energy challenges there, allow Artumas to operate successfully in the area.
Investment Climate - Tanzania offers:
  • Competitive Investment Climate
  • Large Potential Market
  • Abundant Natural Resources
  • Infrastructure Facilities
  • Peace and Stability
  • Fiscal Governance
  • Investment Guarantees
  • Transparent Investment Laws
  • Investment Incentives

Ina maana KINANA anayafanya haya yote bila kibali cha SERIKALI?
Anamuwakilisha nani huko?
 
USIJE UKASHANGAA KINANA AMUWAKILISHA MKAPA PALE ARTUMAS,

UKIANGALIA KWENYE FINANCIAL REPORT YAO AUDETED KIPENGERE NAMBA 20 ,UKURASA WA ARUBAINI NA MOJA WANASEMA WANATEGEMEA TANESCO ILI WAWEZE KUJIENDESHA KIBIASHARA.

"20. Economic dependence
As of December 31, 2007, all of the operating revenues of the Company and paid from Tanzania
Electric Supply Company Limited (TANESCO) under an Interim Purchase Power Agreement.
Any failure of TANESCO to fulfill its obligations under the agreement would have an adverse
effect on the Companys business, financial condition and results of its operations
"

HIVI MWANASHERIA MKUU WA TANESCO NI NANI, NINAWASIWASI NA ELIMU YAKE
 
USIJE UKASHANGAA KINANA ANMWAKILISHA MKAPA PALE ARTUMAS,

UKIANGALIA KWENYE FINANCIAL REPORT YAO AUDETED KIPENGERE NAMBA 20 ,UKURASA WA ARUBAINI NA MOJA WANASEMA WANATEGEMEA TANESCO ILI WAWEZE KUJIENDESHA KIBIASHARA.

"20. Economic dependence
As of December 31, 2007, all of the operating revenues of the Company and paid from Tanzania
Electric Supply Company Limited ("TANESCO") under an Interim Purchase Power Agreement.
Any failure of TANESCO to fulfill its obligations under the agreement would have an adverse
effect on the Company's business, financial condition and results of its operations
"


HIVI MWANASHERIA MKUU WA TANESCO NI NANI, NINAWASIWASI NA ELIMU YAKE

Sasa wewe kama KIKWETE MAMBO HAYA YOTE HUYAONI?
AMA MWENZAKO BADO ANATAWALA?
MAANA HATA KULE KENYA ALIENDA YEYE KUSULUHISHA KABLA MAREKANI HAWAJAKUTAKA UENDE?
Whats up?

NB:Hivi kwenye kuchimba kwao wakati wa kutafuta mafuta bado ni pesa za walalahoi na TANESCO NA RICHMOND JAMANI!
 
NCHI KWELI IKO MIKONONI MWA WATU BINAFSI!
Sasa SERIKALI IMESHIRIKISHWA?
Kumbe kuna MAFUTA MTWARA NA NDIO MAANA MKAPA ANATAKA TANZANIA IGAWANYIKE?
 
Kubwa Jinga Umeona

Lowassa hata akiona si atadai Kinana ni MCHAGGA!
Teh teh teh!
Sasa ni kipi asichoona? Hata kwenye linki ya kwanza ilikuwa possible kuona!
Sasa huyu kweli ndiyo alikuwa Prime Minster?
Teh teh teh teh.....!
 
Kama utaratibu ndio huo wa kwamba kila kampuni ya Energy inanufaika na Tanzania, tunashangaa nini kusikia kwamba watanzania asilimia 10 tu ndio wana access ya Umeme.
 
Mrope MP wa Masasi Disrict ana maswali ya kujibu kwani amedai kuwa mpango wao wa kutumia kampuni TANZU ya UMOJA light kwa kushirikiana na MKABURU wanadai kuwa wananchi wa LINDI NA MTWARA HAWATAKAA WAKOSE UMEME!

SASA KWASABABU TUNAJUWA KUWA WAMESHALIPWA MABILIONI..TUNATAKA WANANCHI WA MTWARA WAJE HAPA WATUELEZE KAMA NI KWELI WANA UMEME USIKU KUCHA NA MCHANA KUTWA KAMA HUYO MBUNGE WAO MROPE AMBAE ANA MASLAHI NA MAFISADI ALIVYOSEMA KWENYE VIDEO YA KAMPUNI HIYO!

Wanatafuta mafuta na wanachimba kwa kulipwa na TANESCO at the same time...Walitowa ahadi kuwa hakuna mwananchi wa maeneo hayo ya mtwara na Lindi watakaokosa umeme!

Tunataka tuuone MKATABA WAO NA TANESCO!

Tunataka tujuwe ni kiasi gani cha fedha wamelipwa na wanaendelea kulipwa.

Tunataka tujuwe kama ni kweli umeme upo kila mahali na haukatiki huko MTWARA LA SIVYO MBUNGE HUYO ASIINGIE BUNGENI NA AKAMATWE!
KINANA NAYE AKAMATWE.
 
Hayo Ndio Yaliyopo Behind The Seen, Ninadhani Website Ya Bunge Inahitaji Iorodheshe Wabunge Wote Wenye Private Interest Kwenye Project Zote Kubwa
 
Hayo Ndio Yaliyopo Behind The Seen, Ninadhani Website Ya Bunge Inahitaji Iorozeshe Wabunge Wote Wenye Private Interest Kwenye Project Zote Kubwa

Hapo umenena!
Tena wafanye hivyo mara moja kabla ya RIPOTI KUSOMWA ILI TUWEZE KUJUA KAMA MCHANGO WAO HUKO BUNGENI UKO LIMITED KUTOKANA NA MWINGILIANO WA KIMASLAHI!

Nakubaliana na hiyo issue ya website ya BUNGE kufanya hayo!
 
Leokweli,
Sasa nimemuona Kinana pamoja na MP wa Masasi Bw. Marope. Kama na Kinana naye yumo kwenye hizi biashara za kuuza nchi, basi tumekwisha.

Hivi ni kwa nini hizi kampuni zinazosema zina-invest TZ zote zinaweka watu wenye nguvu sana ndani ya CCM kuwa ni maDirector wao? Wana nia gani wanapofanya hivyo? Hivi huko ndio kuajiri wazawa au ni kununua influence?
 
Well Katika Ulimwengu Wa Biashara Wanamini Hao Ndio Reputable But Behind The Seen Hawafai, Ila Kwa Mtu Kama Kinana Kama Una Ligitimate Prove Kama Ni Fisadi Unaweza Kumfukuzusha U Director Within 2 Hours. Na Hii Inatokana Na Kwamba Kampuni Ya Artumas Iko Listed In Oslo Stock Exchange , And They Are Very Straight With Ethical Of The Directors
 
well Kanika Ulimwengu Wa Biashara Wanamini Hao Ndio Reputable But Behind The Seen Hawafai, Ila Kwa Mtu Kama Kinana Kama Una Ligitimate Prove Kama Ni Fisadi Unaweza Kumfukuzusha U Director Within 2 Hours. Na Hii Inatokana Na Kwamba Kampuni Ya Artumas Iko Listed In Oslo Stock Exchange , And They Are Very Straight With Ethical Of The Directors

Sasa si uvute waya mara moja kama wewe ndiye PRESIDAA MWENYEWE?
 
CORPORATE CLARIFICATION
_____________________________________________________________________
In a July 11, 2007 article, Reuters News published comments from an interview with Comoros Vice-President, Mr. Idi Nahdoim.
Reuters reported "Comoros expects to sign oil and gas exploration deals in the coming weeks with … Olso-listed Artumas Group, the archipelago's vice president told Reuters in an interview." This report was subsequently picked up by additional industry publications, without verification.

Artumas Group Inc. Clarification:
At the request of the President's Office in Tanzania, Artumas has provided advice and counsel to the Government of Comoros regarding the process for preparation and management of a hydrocarbon exploration round, and has reserved the right to engage in a future bid round should the terms, conditions, and resource potential prove sufficiently compelling.
Artumas Group Inc. is neither in negotiations, nor has it represented intentions of signing oil and gas exploration deals, with the Government of Comoros.

For more information, please contact:
Wendy E. Shaw
Manager, Investor Relations
wendy.shaw@artumas.com
Hawa jamaa wa Artumas, sasa nao wanaanza kuniogopesha. Kama walisemekana, kuwa na deals zao Comoro, je itakuwa kua kwenda kwetu kupigana Comoro ilikuwa kwa ajili yao??

Tena kwenye hiyo clarification wanasema wazi kuwa kwenda kwao Comoro ni kufuatia ombi la raisi wa TZ, je raisi wa TZ ana uhusiano gani na taifa la Comoro kibiashara??

Bado hatujaambiwa ni nani aliyelipa gharama zetu hapo Comoro, mbona wabunge wetu mko kimya? Inabidi kuwachunguza zaidi hawa jamaa wa Artumas.
 
Kaazi kweli kweli.
Inaelekea tutajuwa mengi sana kama hiyo website ya bunge itayalisti hayo majina ya wabunge wenye ubia na biashara za kifisadi!

Sasa hapa nimeshagunduwa kuwa kipindi cha utawala cha JK alikuwa bado anafanya kazi chini ya influence ya MR CLEAN!

Yani Mr Clean alishasaini mikataba yote na yeye alikuwa yuko yuko tu na wala hawezi kufanya kitu.

Sasa kumbe hata vita ya commoro ni awamu ya tatu waliipanga?

Ni muhimu sana kwa ripoti zote kuwekwa wazi na Kinana aeleze ni kivipi ana nguvu ya kufanya mambo bila hata ushauri wa mtawala wa nchi!

Mambo haya ni ya KITAIFA na inashangaza ni kwanini hawa watu wanaachiwa wafanye mambo haya!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom