Kitendo cha CCM, chamakikongwe na Tawala kukumbatia mtu aliyefukuzwa chama cha upinzani tena chamachenyewe ni Chadema ni cha aibu sana kwa CCM na viongozi wake labda kama hawanamuono na wamekwisha...
Nimeona utaratibu tangu anania ya kuwa rais, mpaka anateuliwa, mpaka anapigiwa kura, wale waliokua kambi nyengine upande wa pili,wapiga debe, sasa hivi wamo katika nafasi za uongozi..Tujiulize...
Wakuu wana JF
Nimeangalia Taarifa ya Habari Star TV saa 2.00, nimeshangazwa kwa kumuona Mkuu wa Wilaya ya Magu akimnadi mgombea wa CCM katika uchaguzi huku akijua kabisa kwamba yeye ni Mtumishi...
Wanajamvi,
Kama kawaida kila kukicha lazima usikie kimenuka ndani ya CHADEMA, mara fulani katimuliwa , mara fulani kahama , na majibu utakayoppata kutoka kwa makamanda ni mitusi mikubwa mikubwa...
MGENI RASMI ATAKUA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA.
MAANDAMANO YA KUMPOKEA MWENYEKETI YATAANZIA AIRPORT MPAKA OFISI ZA MKOA MWANZA.
KIKAO KITAFANYIKIA MWANZA, NA KUHUSISHA VIONGOZI NA WADAU...
Waziri Mkuu Mh. Pinda aka mtoto wa mkulima katika taarifa ya saa mbili kituo cha Star TV amewataka watanzania wasiwe na mategemeo kwamba wataanza kunufaika na gesi ya Mtwara katika muda mfupi...
Katika historia tulijifunaza kuhusu "unequal trade" kati ya Afrika na Mataifa ya nje kama ilivyokuwa kwa Tanzania. tulisoma kuwa africa ilibadili dhahabu, watumwa, shaba, pembe za ndovu na vito...
Nimeshangazwa na hoja ya dk thomas kashilila iliyotamka rasmi kwamba matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni yasitishwe au yaundiwe channel mpya na tcra.
NIMEGUNDUA KUWA BUNGE LINATAKA WANANCHI...
Miongoni mwa mawaziri bora Tanzania ukiacha Mwakyembe na Magufulu huyu mh. Mwanry ni mchapakazi bora sana yupo serious na ni hodari katika utendaji wake.
Sasa hivi yupo katika taarifa ya habari...
Katika taarifa ya habar ya star tv inayoendelea sasa Nape anasema wamejipanga kupambana na rushwa ndani ya chama. Katika alizodai aina mbili za kupambana wao wameamua kupambana kwa kuzuia na si...
Tanzania's Land Rights Violations
By Guest, September 10, 2012
Tanzania's Troubling Trend of Land Rights Violations And Evictions.
This article highlights the plight of the Maasai in Tanzania...
Ndugu wanabodi.
Mbona mimi nikiingia www.meo.go.tz ya wizara ya Elimu sioni posti za walimu?
Na mbona taarifa za vijiweni kuna watu wanasikika kutoajiliwa kwa kuwa wamesoma kozi za BED...
Mhe. huyu sana; Katibu wa Bunge amenukuliwa na gazeti la Tanzania Daima akisema "Kina mama ambao wanajua kuwa siku hiyo watauliza maswali utawaona siku hiyo wanavalia kikweli kweli ili...
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amefichua mkakati kabambe uliopangwa na chama hicho wa kujiimarisha ndani ya miezi 6
Dr Slaa amesema kuanzia Aprili mpaka Septemba mwaka huu kutakuwa na...
Naibu spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema kuwa hatua ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoa simu yake kwa wananchi kumemuathiri kwa kuwa amekuwa akitukanwa.
Ndugai...
Habari zilizothibitishwa toka ndani ya TBS ni kwamba CHARLES EKEREGE aliesimamishwa kazi ya ukurugenzi pale viwango anarudishwa kazini kuanzia jumatatu 21/01/2013.
Waziri kigoda kaamua kumrtudisha...
Jamani watanzania kuna kitu ambacho kinafanyika,naomba kujua kama kisheria iko sawa kwa hili,mana unapoenda serikari za mtaa kwa ajili ya barua yoyote ya utabulisho au kwa ajili ya ishu yoyote ni...
na Happiness Mnale
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Dk. Edward Hoseah, amemuomba Jaji Mkuu, Othman Chande, ili kesi zinazohusiana na rushwa...
Binafsi mm naona usalama wa taifa walichungulia ile post yetu ndio maana leo wameamua kumbeba mama Maria kutoka Msoma hadi ZANZIBAR kumpatia kitambulisho.
Binafsi mm kwanza naona ni ufujaji wa...