Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 18, 2025 imepanga kutoa amri kuhusu kurushwa mubashara kwa maelezo ya mashahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali...
24 Reactions
40 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za...
1 Reactions
5 Replies
875 Views
Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo: 1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya. 2. Waelekeze mawakili wako...
17 Reactions
97 Replies
5K Views
Tangu tupate Uhuru, mwaka 1961, mpaka leo 2025 tunaongozwa na Serikali ya CCM. Maana yake Chama hiki ni kikongwe, kimezeeka. Kimetutoa huko na kutufikisha hapa tulipo. Katika kipindi hiki chote...
0 Reactions
4 Replies
321 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, ya kuomba mahakama hiyo kutengua uamuzi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Akizungumza Jumatatu Agosti 18, 2025 Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa Juma Khatibu katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha...
0 Reactions
2 Replies
530 Views
Kinachoendelea hivi sasa nchini Tanzania inaonyesha aidha rais Samia Suluhu Hassan hashauri (haambiliki) ama ana washauri wabaya wanaompotosha Kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na...
11 Reactions
129 Replies
6K Views
Baada ya Mjadala wa kufuta Jeshi la Polisi kuhitimishwa, huku tukisubiri Utekelezaji, Idara nyingine inayohitaji kufutwa ni Mahakama. Huku kumejaa Uchafu usiomithilika, hukumu zinazotolewa...
2 Reactions
8 Replies
820 Views
Naomba TAL aachiwe haraka tupone mioyo yetu , kwakuwa hatulali tunawaza hatima ya Tanzania.
4 Reactions
4 Replies
196 Views
"Kilichonisukuma kupinga uhalali wa Luhaga Mpina kugombea Urais katika Chama cha ACT WAZALENDO ni kanuni. Kwenye ukurasa wa 23/ 16, inaonyesha sifa za wagombea ndani ya Chama. Wagombea Urais. Awe...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu. Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Huyu hapa ni yule mdada aliyepinga Mpina kugombea Urais ACT Wazlendo. Anaitwa Ndala Monalisa. Leo akiwa kwenye interview Wasafi amejitokeza akisema kuwa...
1 Reactions
7 Replies
646 Views
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za...
1 Reactions
4 Replies
425 Views
Hamjambo! Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu. Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda...
18 Reactions
40 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao...
9 Reactions
64 Replies
4K Views
Akizungumza katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa leo Agosti 18, 2025 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere...
0 Reactions
3 Replies
674 Views
Au ndio anakuwa anaenda kupata baraka? Maanda Yeye nae hapendi rushwa, uzembe na wizi wa mali za umma
0 Reactions
4 Replies
478 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amehoji uwiano wa mamlaka kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi, akisema kuna mgongano...
2 Reactions
5 Replies
331 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amehoji uwiano wa mamlaka kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi, akisema kuna mgongano...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…