Serikali ya CCM yatengeneza Usugu kwa Watanzania

Serikali ya CCM yatengeneza Usugu kwa Watanzania

M.L.

Senior Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
185
Reaction score
120
Serikali ya CCM imewafanya watanzania wawe sugu. Kwa muda mrefu, CCM imewatumia polisi kukandamiza haki za raia. Raia wamekuwa sugu sasa baada ya kuchoka kunyimwa na kuporwa haki zao mfano, usugu huo umejitokeza sana kadiri siku zinavyoenda mbele. Huko Mtwara wananchi waliwafuata askari polisi majumbani mwao na ofisini mwao. Huko Pwani, wananchi walivamia kituo cha polisi na kumpiga mawe polisi kituoni hapo.

Wananchi wameona polisi wanatumika kama mbwa wa mfugaji. Kwa sasa hawahangaiki na mbwa wameamua kumfuata mwenye mbwa. mfano, huko Mtwara wananchi wakaamua kuchoma ofisi za CCM na za wabunge wa CCM.

Je kwa uelekeo huu itakuwaje wakati wa mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani (2014) na uchaguzi mkuu wa 2015.
 
Kinachohitajika ni umoja na mshikamano kwaajiri ya ukombozi wa kweli na wa haki kwa hawa jamaa kwa propaganda zao na ruswa bila mshikamano wa kutosha wanaweza kuchakachua matokeo tena
 
Jana nilikuwa nafuatilia DW Radio ju ya vuguvugu la mabadiliko ktk nchi ya kiarabu. Hakika yatatokea tz
 
Tatizo mambo haya yote hufanywa na wanaume lakini wale kina mama wakimwagiwa KHANGA za kutosha wapewa buku tano tano na kupigiwa ule wimbo wa "NAMBARI ONE NI Ccm" woote wanapiga kura za ndio....

Inabidi kutoa elimu ya kiraia sana kwenye maeneo kama haya ambayo yanaonekana yameanza kupata mwamko kwani ni political opportunity......
 
Back
Top Bottom