Kwanza, nieleze wazi hapa kuwa haya ambayo nitayaandika hapa, ni kwa mujibu wa utafiti wangu mdogo na majibu ya maswali ambayo niliyauliza kutoka kwa baadhi ya watu wa ndani kabisa wa CHADEMA hapa...
PALIPO na uongozi thabiti, tatizo kubwa hugeuzwa kuwa dogo. Palipo na uongozi dhaifu, tatizo dogo hugeuka kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe. Hali hii inajidhihirisha katika taifa letu kwa sasa...
Wakuu,
Mimi na makambanda wengine watano tumeazimia kwenda kueneza mabadiliko jimboni Kyela Mkoa wa Mbeya. Tayari tumejiandaa na kukusanya kiasi cha pesa cha shillingi milioni moja na nusu (1.5)...
CCM yapata kiwewe Dar
NA MOSHI LUSONZO
2nd March 2013
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick amekiri ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuna baadhi ya viongozi wanafuata sera ya vyama...
Makamo wa Kwanza wa Rais wa Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu Mkuu Wa Cuf
Written by ibnially // 04/03/2013 // Habari // 3 Comments
Chama cha wananchi CUF kupitia katibu mkuu...
Mbunge wa kuteuliwa,mh.James Mbatia, leo anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari ili kuelezea hatima yake katika tume ya waziri mkuu.
Ameahidi kueleza kila kitu.
Source: Habarileo.
SERIKALI imeomba mkopo wa Sh. bilioni 160 kutoka Benki ya Dunia ili iweze kukabiliana na tatizo la uhaba wa Nishati ya Umeme linalotishia kuiingiza nchi gizani. Waziri wa Fedha, Dk. William...
Ndugu zangu,
Kama mwanadamu, wakati mwingine tujiulize; Je, ni yepi ambayo tungependa wanadamu wenzetu waje kutukumbuka nayo? Ni yale ambayo tutayaacha nyuma yetu- legacy.
Leo niliposoma gazeti...
picha,za mtaa wa unguja jijini mwanza,hapa ni makazi ya watu,kuna shule za chekechea,msingi(mbugani) na secondari(thaqaafa) na hospital(usumau dispensary),
sheria zinavunjwa wazi wazi,kisha kuna...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Willibrod Slaa ametakiwa kutokanyaga mkoani Mbeya kuanzia sasa hadi ifikapo mwaka 2015 wakati wa...
Mbunge wa Iramba na Naibu Katibu MKUU KIJANA WA CHAMA TAWALA CCM AMERIPOTI JKT MSANGE KJ 823 Tabora na kuonesha ukakamavu mkubwa uliowafurahisha wajeshi. Akiwa kwenye pensi, t shirt na skafu yake...
Monday, 09 July 2012 20:53
Katibu Mkuu wa Chadema,Dk Willibrod Slaa
POLISI KUWAHOJI KWA MATAMSHI KWAMBA WANATISHIWA MAISHA, DK NCHIMBI ASEMA WANASABABISHA CHUKI
Neville Meena na...
Katika maelezo yake kupitia TBC, Kikwete alisema kuwa amani ya nchi yetu tumeikuta na ililetwa na mababu zetu na anashangaa kwa nini inatoweka sasa kwa mgawanyiko wa kidini.
Napenda kumwambia...
Tusipende kujenga uchama zaidi tujaribu kujenga Tanzania kwa sasa yenye watu wenye uchungu na moyo wa kupigania maendeleo sio binafsi no ya kila mtu mimi yeye na yule tujenge tabia ya kuambiana...
Katika kuonyesha kuwa jasiri haachi asili, mbunge kijana na tegemeo la wana Nzega, kama ilivyo kawaida yake leo amemtwanga Ngumi mzee mwenye umri wa zaidi ya miaka 56 ambaye ni mjumbe wa kamati ya...
Miongoni mwa sababu zilizotolewa na mh. Kawambwa juu ya anguko la elimu kwa kidato cha nne 2012 ni : serekali kudhibiti wizi wa mitihani. katika matokeo hayo ambapo asilimia 60.6% walipata sifuri...
Ndugu zangu,
Kuna simulizi ya kwenye Biblia. Enzi za Mfalme Suleiman kuna watu waliolalamika sana, kuwa wanaishi kwenye manyanyasiko mno.
Kukawa na vijana waliokuwa na kiu ya kutaka...