Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika...
15 Reactions
74 Replies
4K Views
Unajua serikali yetu hii na chama chake tawala mara nyingine ifikie mahali ione aibu kutumia njia za kimabavu kuonea watu. Ukitaka kuonea watu, basi fanya kwa namna ambayo watu watakuona una akili...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Kyara, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anarejesha heshima ya wanaume ambayo...
0 Reactions
1 Replies
529 Views
Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Hiyo Billion 10 imetolewa na Jumanne Kaseja . Hii inaonesha wazi ni namna gani Jumanne Kaseja ameupania huu mchezo .
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo...
29 Reactions
163 Replies
22K Views
Kwa wenye akili ndogo miradi ya kujenga Jenga ndio maendeleo tena ya kupongezwa lakini mwambie akupe hesabu za kupunguza umaskini ataanza kutukana. In fact sio tuu ni matumizi mabaya ya...
3 Reactions
12 Replies
862 Views
Naendelea kushangaa inafanywa harambee kwa ajili ya kampeni badala ya kufanya harambee ya kununua hata kipimo cha kuwapimia wajawazito damu bule kila wanaporudi kliniki badala ya sasa kila...
1 Reactions
0 Replies
329 Views
Wakuu wa JF, nimekutana na video inaonyesha wananchi wa Buchosa wakitoa maoni wanamsifia aliyekua Mbunnge wao ambaye tena ni Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM Eric Shigongo. Imenifanya...
0 Reactions
2 Replies
340 Views
Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika...
0 Reactions
3 Replies
336 Views
Niko nakusanya Majina na viwango vyote vya fedha vya watu walioichangia CCM, kila mtu aliyesikika na atakayekuwepo humo ni complicity wa Ukiukwaji wote wa haki, Nikishakusanya hawa watu wote...
16 Reactions
79 Replies
5K Views
Swali zuri sana. Unaruhusu walio mahakamani wasikilize, lakini unakataa live streaming! Does it make sense ?
1 Reactions
3 Replies
371 Views
Nilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye...
10 Reactions
108 Replies
4K Views
"Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu, kwa maana ya kufaili taarifa, kwa mujibu wa kifungu cha 262(6), na taarifa hiyo imepokelewa na kusajiliwa kwa namba Criminal Session...
0 Reactions
1 Replies
586 Views
Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM...
48 Reactions
533 Replies
64K Views
Walipanda mashamba katikati ya jangwa, lakini chemchemi ikazibwa kwa mawe ya mamlaka. Barabara yao ya mbele ilijaa mashimo yaliyotengenezwa kwa makusudi, nyuma yao daraja lilivunjwa kabla...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Mgombea urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea nafasi hiyo, kipaumbele chake cha kwanza...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Tanzania tukiiga mfumo wa Mahakama za Kenya tutawasaidia sana mawakili wetu kuonekana duniani na kupata tenda za kisheria za kimataifa Mawakili wa Tanzania hawa akina Mwabukusi hawajulikani...
1 Reactions
3 Replies
247 Views
Katika haya mawili. Moja ni sahihi. 1. CCM haina au haitumii washauri wenye akili imeamua kuongozwa na wasio au wenye akili ndogo. 2. CCM imegundua watanzania wengi hawana either au hawatumii akili
8 Reactions
7 Replies
710 Views
Anaandika Afande sele ,✍. Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳 Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…