Mshahara wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri na Watendaji Wakuu Serikalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri na Watendaji Wakuu Serikalini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sr. Magdalena, Jan 10, 2012.

 1. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Wakuu tukiwa kama waajili wa hawa Viongozi ni shurti na haki yetu kujua malipo yao, hapa naongelea Mishahara yao, Posho zao, Marupurupu na Pension.

  Tumejua ya wawakilishi wetu bungeni, na sasa ni hawa viongozi waandamizi wa Serikali.

  Tumepiga kelele na kupinga ongezeko la sitting allowance (Posho) za wabunge na nadhani kwa kiasi kikubwa tuko mbioni kufanikiwa sasa ni wakati wa kuangalia malipo na posho za hawa viongozi wengine, hali ya maisha kwa mtanzania wa kawaida ni ngumu huku asilimia kubwa ikiishi chini ya Usd 1 kwa siku.

  Mwenye hizi data atuwekee hapa, tuzijue na kuzipitia.

  Asalaam

  MODs Please msiunganishe thread hii na nyingine yeyote please.
   
 2. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninavyofahamu mimi mishahara na marupurupu ya viongozi waandamizi wa serikali hupitishwa na bunge sasa wabunge wamwage hansard hapa tuone.
   
 3. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahaha, jamaa hawachelewi..hahaha..

  Tupewe na mishahara/pension/posho za wastaafu kwa kuwa juzi kulikuwa na debate kali kati ya naibu speaker na waziri mkuu mstaafu.
   
 4. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hili swali lishaulizwa mara kadhaa humu lakini jibu halijapata.
   
 5. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Mkuu ndiyo maana nimeomba mods wauache huu uzi, wasiunganishe na uzi mwingine wowote, natumai watu sasa wanafungua makabrasha watupe data, watch this space!.
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nadhani kuanzia utawala wa Mkapa mshahara wa rais umefanywa kuwa jambo la siri.
   
 7. M

  Mfugang'ombe Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello members of the HOUSE good evening! Thank u very much for welcome me to this house of Thinktanks.

  Based on the matter at hand, this people are paying using our money hence its our legitimate right to know how are they being paid. So bring their scales on board for discussion
   
 8. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Top Secret. Classified. Hazipatikani!!! Msisahau maneno yangu.
   
 9. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Annual salary of US President:
  The president of the United States of America earns a $400,000 annual salary ($33,333 per month), along with a $50,000 annual expense account, a $100,000 nontaxable travel account and $19,000 for entertainment.
  Over the past two centuries, the annual salary of the US Presidents has been adjusted as follows:
  [TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]
  Date established
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"]
  Salary
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]September 24, 1789
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"]
  $25,000
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]March 3, 1873
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"]
  $50,000
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]March 4, 1909
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"]
  $75,000
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]January 19, 1949
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"]
  $100,000
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]January 20, 1969
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"]
  $200,000
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]January 20, 2001
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"]
  $400,000
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Salary of the President of the United Republic of Tanzania???
  We need to know HOW our taxes are spend, and WHO spends WHAT…
   
 10. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utashangaa kuona marais wa nchi za africa wanalipwa mishahara na marupurupu manono kuliko rais MAREKANI!
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,134
  Trophy Points: 280
  Tanzani yetu ndio nchi ya furaha.
   
 12. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Lakini si mnajua fedha yetu in picha ya Rais na kwa msingi huo YOTE ni ya kwake. ingawa kwa here say wanasema mshahara wa rais ukiacha marupurupu mengine ni 30m/ na hii ni exempted from tax r/w ITA 2004 RE 2010
   
 13. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ukitaka kujua mshahara wa rais wa nchi muulize maana yeye ndio shahidi, usiwaulize wengine watakudanganya.
   
 14. M

  Mbundenali Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwn we mshhr hao w2 unakuhs nn?ganga kvyk.ucpj2ma ht hao wcplpw mshhr utbk kama ulivyo
   
 15. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hii inshu naona ni ngumu/secret sana maana ishaulizwa several times humu halijapatikana jibu, kwa mara ya kwanza naona JF ikishindwa kudadavua jambo na kumwaga evidences zake
   
 16. m

  mwikumwiku Senior Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwanini usingetumia tu lugha yetu ya Kiswahili?
   
 17. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ukishamaliza kupata scales zao za mishahara ambayo ni midogo sana, uliza na marupurupu (ya safari, rates za mikopo, pesa ya mafuta ya gari kwa wiki, entertainment allowances, pesa ya kulipia wafanyakazi, na mengine). Unaweza kupata heart attack.
   
 18. m

  mwanza_kwetu JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 684
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wanapiga zaidi hata ya rais wa US; so lazima iwe siri; si unaona vijiji wanavyojenga na hapo bado wakiwa marais?
   
 19. N

  Natalia JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mzazi wangu alikuwa katibu mkuu mshahara wake ulikuwa sh milioni 4 kwa mwezi na kila mkutano anaohudhuria ni laki 3 na kila week walikuwa wanaleta kreti la soda na beer bure , magari mawili na dereva , satellite ya nyumbani walikuwa wanalipa . kila safari ya nchi ya nje mzazi wangu alikuwa analipwa kama dollar 5000. kwa hiyo katibu mkuu labda anaingiza pesa benki kama dollar 11,000 kwa mwezi . na ana acces na pesa za wizara.
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,140
  Likes Received: 417,585
  Trophy Points: 280
  kwa nini isiungaishwe wakati haina jipya na hii mada huko nyuma ilichambuliwa vilivyo?
   
Loading...