Kuchaguliwa kwako ni ushuhuda tosha wa imani na heshima kubwa ambayo kanisa Katoliki inayo kwako,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Ijumaa 15 Machi, 2013 mchana amemtumia Salamu za Pongezi Baba...
Wanabodi,
Hali ya sintofahamu inayomkabili Mkuu wa Usalama wa Chadema, Wilfred Rwakatare, utamalizika rasmi kesho, kwa kiongozi huyo au kufikishwa rasmi mahakamani, au kuachiwa huru, kufuatia...
Aliyekuwa waziri wa elimu na utamaduni katika serikali ya awamu ya tatu,Joseph Mungai, amesema kuwa wakati wake serikali ilifanya mengi kuhakikisha elimu inakuwa bora na kwamba yote waliyoanzisha...
Nakaa na kujiuliza sana kuwa hivi ndani ya CCM si kuna wazee wenye busara? Najua wapo, sijui kama wanazuiwa au wanakaa kimya kusikia mambo ya kina mwigulu, Lusinde and the like kuendelea...
JK anatembelea Mtwara (tamka "Ntwara") nn dhima ya safari/ziara yake hii? ni kuweka sawa mambo ya gesi? ktk moja ya bango la waandamanaji that time kulikuwa na ujumbe mzito "gesi ni ya wana mtwara...
NEWS
By PAUL REDFERN Special Correspondent
Posted Saturday, March 16 2013 at 18:49
IN SUMMARY
Kenya, Tanzania and Uganda are source countries while Malaysia, Vietnam and the Philippines...
Hilli suala la Lwakatare wa CHADEMA limeacha maswali mengi kuliko majibu!
1. Mwigulu Nchemba alidai kuwa anayo video inayoonesha CHADEMA wakipanga mauaji, kisha akakaa kimya na hakuiwasilisha...
Ili kuonyesha umoja wetu WanaCHADEMA wote mliopo Dar es Salaam na Mikoa ya jirani pamoja na wapenda haki na Mabadiliko wote siku ya jumatatu tujae Mahakamani kumtia moyo Kamanda wetu Wilfred...
Video imetoka mtandaoni, aliyeipost akasema ilimlenga nani, polisi wakamkamata Lwakatare kwa comment moja ya aliyeipost kuwa huyu ndiyemtekaji wa Kibanda.
Video iliyopostiwa kwenye mitandao...
Sunday, March 17th, 2013 | By Elias Mhegera
Once again Tanzanians have been warned not to think that this country is cushioned from the negative effects of natural resources curse, which is...
Mwenyekiti wa CDM Taifa Mh,Freeman Aikaeli Mbowe, amesema kwamba pamoja na Mbinu chafu inayotumiwa na Serikali ya Ccm na Jeshi la Polisi dhidi ya CHADEMA, anaamini kwamba Mwaka 2015,bado...
Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA,hivi karibuni kitafanya uzinduzi wa kanda ya kichama na ya kimkakati (kanda ya mashariki -makao makuu yake itakuwa KIBAHA MJINI ) kuelekea ushindi wa...
MAANDAMANO yaliyoandaliwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), yamegonga mwamba kutokana na kuahirishwa, baada ya askari polisi waliokuwa na mabomu ya machozi kuyazuia. Licha ya askari...
Wanabodi wenzangu nimekaa nikitafakari sana usiku huu nikakafiri pana haja sasa ya kiongozi yeyote atakaeomba nafasi ya Uraisi kupitia Chama chochote aje na sera ya kulinda Watanzania bila kujali...
Unajua nimekuwa nikijiuliza, kwa nini Mandela, Gandhi, Luther Nk, walisababisha kelele nyingi sana dunia nzima mpaka ukombozi ukapatikana katika malengo yao makuu. Nimegundua wanafalsafa huwa...
"....Vile vile Polisi wana hofu ya kumleta Kamanda Rwakatale mahakamani kwa sababu wanajua atapata utetezi mkubwa kuliko wanavyofikiria, walifikiri watamnyanyasa nyanyasa tu.. hapana...
Edson Kamukara
NI takriban wiki mbili, bado Jeshi la Polisi nchini halijawakamata na kuweka majina yao hadharani watuhumiwa waliomteka, kumtesa na kumuumiza Mwenyekiti wa Jukwaa la...
Waziri Mkuu Mjiuzulu na Mbunge wa Monduli,Edward Ngoyai Lowassa,amesema kuwa Jiji la Arusha ni gumu sana kisiasa hasa upande wa CCM. Lowassa aliyasema hayo jana hapa Arusha alipokuwa akizindua...