Suala la Lwakatare Lilipangwa?

Suala la Lwakatare Lilipangwa?

LordJustice1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
2,263
Reaction score
533
Hilli suala la Lwakatare wa CHADEMA limeacha maswali mengi kuliko majibu!

1. Mwigulu Nchemba alidai kuwa anayo video inayoonesha CHADEMA wakipanga mauaji, kisha akakaa kimya na hakuiwasilisha Polisi, kwa nini?

2. Baada ya kuwasilisha hii video hapa JF (badala ya Polisi), polisi haraka haraka wakaifanyia kazi kwa kumhoji Lwakatare, badala ya Mwigulu Nchemba ili aeleze kuwa hiyo video kaitoa wapi au kama hiyo aliyokuwa nayo ndio hiyo hiyo iliyokuwa posted kwenye mtandao.

3. Clouds FM, nao wakaingia ulingoni kuirusha hewani huku wakijua kuwa Polisi inaifanyia kazi hiyo video, Je, wanataka kuweka ujumbe gani hasa?

4. Tuje suala la Sheikh ILUNGA ambalo lilikuja kwa staili ile ile ila tofauti ni kwamba hakuna aliyedai kuwa anamiliki video hiyo! Video hiyo ilirushwa na kubaki muda mrefu sana hapa JF, cha kushangaza ni kwamba hatukuona Polisi wakihaha kumkamata Sheikh huyo hatari aliyehamasisha Mapadre, Makasisi, nk kuuawa! Hadi leo ni kimya utafikiri hivyo si vitisho bali ni PONGEZI! Clouds FM nao walikuwa kimya kama wamemwagiwa maji!

5. Katika tukio la Lwakatare tumeona Ridhiwani na Nape Nnauye wakiongea na kutoa mawazo yao, lakini kwa Sheikh ILUNGA hakuna kati ya hao wawili walioongea chochote!

6. Je, mazingira haya hayatupi wasiwasi kuwa hili suala la Lwakatare lina connection na akina Nape na Ridhiwani na pia CCM kwa ujumla? TAFAKARI!!
 
Mpaka 2015 wanachadema wote watakua na kesi za kujibu mahakamani!wameshamaliza wabunge sasa viongozi na wanachama
 
Wala usiwe na shaka na uharaka wa polisi katika mambo mazito ya aina hii. Tanzania ndipo mahali pekee ambako hata ukiomba msaada kutokana na tishio la kuuawa, hakuna lolote la maana litakalofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama. Tanzania hadi mambo yaharibike ndipo wahusika wanapojitokeza.

Mfano mzuri ni kwenye misiba-Watanzania kuwahudumia wagonjwa ni jambo adimu sana, lakini angalia mtu akishaaga dunia-watajitokeza wa kununua jeneza la Sh milioni mbili, ilhali matibabu ya kumwokoa aliyefariki dunia yangegharimu Sh 30,000.

Tajiri anajitokeza kununua magunia matatu ya mchele kwenye msiba, ilhali aliyekufa kafa kwa njaa ambayo angeweza kuokolewa kwa unga na mboga vya Sh 10,000 tu! This is Bongo!!!
 
Labda nchi ndio inaelekea kutotawalika kama wanavyosema.
 
Lakini mwisho wa yote, ukweli utajulikana, na nadhani hauko mbali.
 
Hilli suala la Lwakatare wa CDM limeacha maswali mengi kuliko majibu!1. Mwigulu Nchemba alidai kuwa anayo video inayoonesha CDM wakipanga mauaji, kisha akakaa kimya na hakuiwasilisha Polisi, kwa nini? 2. Baada ya kuwasilisha hii video hapa JF (badala ya Polisi), polisi haraka haraka wakaifanyia kazi kwa kumhoji Lwakatare, badala ya Mwigulu Nchemba ili aeleze kuwa hiyo video kaitoa wapi au kama hiyo aliyokuwa nayo ndio hiyo hiyo iliyokuwa posted kwenye mtandao. 3. Clouds FM, nao wakaingia ulingoni kuirusha hewani huku wakijua kuwa Polisi inaifanyia kazi hiyo video, Je, wanataka kuweka ujumbe gani hasa?
4. Tuje suala la Sheikh ILUNGA ambalo lilikuja kwa staili ile ile ila tofauti ni kwamba hakuna aliyedai kuwa anamiliki video hiyo! Video hiyo ilirushwa na kubaki muda mrefu sana hapa JF, cha kushangaza ni kwamba hatukuona Polisi wakihaha kumkamata Sheikh huyo hatari aliyehamasisha Mapadre, Makasisi, nk kuuawa! Hadi leo ni kimya utafikiri hivyo si vitisho bali ni PONGEZI! Clouds FM nao walikuwa kimya kama wamemwagiwa maji! 5. Katika tukio la Lwakatare tumeona Ridhiwani na Nape Nnauye wakiongea na kutoa mawazo yao, lakini kwa Sheikh ILUNGA hakuna kati ya hao wawili walioongea chochote! 6. Je, mazingira haya hayatupi wasiwasi kuwa hili suala la Lwakatare lina connection na akina Nape na Ridhiwani na pia CCM kwa ujumla? TAFAKARI!!

Nape, Mwigulu, Ridhiwani, Polisi na CCM wanatakiwa watupe majibu ya maswali yako mazuri. Mimi naamini Nape, Ridhiwani, Mwigulu wanaweza kutupa majibu maana maneno yao yanaakisi kushiriki katika kutengeneza video hii feki. Polisi kama kweli wanafanya kazi yao bila mashinikizo wawahoji hawa
 
Af kwanini hii Clip inaitwa ya mauaji? Nimeirudia zaidi ya mara tano sijasikia mpango wa mauaji. Naweza kusaidiwa kujua kama ni mauaji ni kwa namna gani?
 
Hilli suala la Lwakatare wa CDM limeacha maswali mengi kuliko majibu!1. Mwigulu Nchemba alidai kuwa anayo video inayoonesha CDM wakipanga mauaji, kisha akakaa kimya na hakuiwasilisha Polisi, kwa nini? 2. Baada ya kuwasilisha hii video hapa JF (badala ya Polisi), polisi haraka haraka wakaifanyia kazi kwa kumhoji Lwakatare, badala ya Mwigulu Nchemba ili aeleze kuwa hiyo video kaitoa wapi au kama hiyo aliyokuwa nayo ndio hiyo hiyo iliyokuwa posted kwenye mtandao. 3. Clouds FM, nao wakaingia ulingoni kuirusha hewani huku wakijua kuwa Polisi inaifanyia kazi hiyo video, Je, wanataka kuweka ujumbe gani hasa?
4. Tuje suala la Sheikh ILUNGA ambalo lilikuja kwa staili ile ile ila tofauti ni kwamba hakuna aliyedai kuwa anamiliki video hiyo! Video hiyo ilirushwa na kubaki muda mrefu sana hapa JF, cha kushangaza ni kwamba hatukuona Polisi wakihaha kumkamata Sheikh huyo hatari aliyehamasisha Mapadre, Makasisi, nk kuuawa! Hadi leo ni kimya utafikiri hivyo si vitisho bali ni PONGEZI! Clouds FM nao walikuwa kimya kama wamemwagiwa maji! 5. Katika tukio la Lwakatare tumeona Ridhiwani na Nape Nnauye wakiongea na kutoa mawazo yao, lakini kwa Sheikh ILUNGA hakuna kati ya hao wawili walioongea chochote! 6. Je, mazingira haya hayatupi wasiwasi kuwa hili suala la Lwakatare lina connection na akina Nape na Ridhiwani na pia CCM kwa ujumla? TAFAKARI!!

ukiunganisha hizo dots 5. Unapata majibu pasi na shaka hili ni kwa wenye akili na si-VILAZA. she ilunga video yake ime tizamwaaaaaaaa na mwisho Ikatekelezwa kwa PADRI-KUSHAMBULIWA kwa lengo la kumuangamiza ila kwa rehema za mungu mshika mtutu hakulenga shabaha vizuri.
Baadae tukio likajirudia na safari hii walifa ulu na kumtoa roho Padri,yote haya USALAMA na POLICCM hawakuchukua hatua zozote mpaka mauaji yametokea ndo wamenda kumshika ustaadh ILUNGA.leo video ya kuchonga mmeripuka ka moto wa kifuu.sasa toeni ripoti na kesi ifunguliwe.
 
Nape, Mwigulu, Ridhiwani, Polisi na CCM wanatakiwa watupe majibu ya maswali yako mazuri. Mimi naamini Nape, Ridhiwani, Mwigulu wanaweza kutupa majibu maana maneno yao yanaakisi kushiriki katika kutengeneza video hii feki. Polisi kama kweli wanafanya kazi yao bila mashinikizo wawahoji hawa

Kwa akili zao zilivyo fupi Utasikia NAPE akisema nilikuwa South Africa na Mwigulu atasema sihusiki nipo JKT.
 
Serikali ya CCM ina maadui watatu wakubwa: CDM, Walimu na Madaktari........wale waliotajwa na TANU siku hizi wamekuwa marafiki zao yaani Umaskini, Ujinga na Maradhi, now it reads this
CDM= Umaskini
Walimu: Ujinga
Madaktari= Maradhi
CC: MANI zumbemkuu saudari Mzee Mwanakijiji et al

Watu wenye mwawazo mgando kama wewe ni vyema mwenyezi Mungu awajalie maisha marefu mshuhudie ukombozi wa pili wa taifa hili ifikapo 2015.
 
Wala usiwe na shaka na uharaka wa polisi katika mambo mazito ya aina hii. Tanzania ndipo mahali pekee ambako hata ukiomba msaada kutokana na tishio la kuuawa, hakuna lolote la maana litakalofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama. Tanzania hadi mambo yaharibike ndipo wahusika wanapojitokeza. Mfano mzuri ni kwenye misiba-Watanzania kuwahudumia wagonjwa ni jambo adimu sana, lakini angalia mtu akishaaga dunia-watajitokeza wa kununua jeneza la Sh milioni mbili, ilhali matibabu ya kumwokoa aliyefariki dunia yangegharimu Sh 30,000. Tajiri anajitokeza kununua magunia matatu ya mchele kwenye msiba, ilhali aliyekufa kafa kwa njaa ambayo angeweza kuokolewa kwa unga na mboga vya Sh 10,000 tu! This is Bongo!!!

umenena Mwana NCHI YA VITU VIDOGO.
 
mkuu leo unafunguka kweli. Kulikoni?
 
mkuu leo unafunguka kweli. Kulikoni? Are you in the pipeline?
 
Ilunga inaonesha anakuumiza sana hisia zako ndugu...

unachoshindwa kujua hapo ni kwamba,ilunga alichochea na huku lwakatare alikua anapanga mauaji..

sasa povu la nini?
 
Back
Top Bottom