Wakuu, China hadi sasa ni ya pili duniani katika ukubwa wa chumi, baada ya USA. Ina maana, kimsingi super powers kwa sasa ni USA na China, baada ya Warusi kudondoka. Ili kulinda maslahi yake ya...
Ndugu zangu,
Niliandika juzi, kuwa mwaka 1964 yawezekana kabisa ndio ulikuwa ni mwaka mgumu sana kwa Julius Nyerere katika kipindi chake chote cha Uongozi wa nchi hii.
Ni mwaka uliokuwa na...
Ndugu wanajamvi, salamu.
Kutetereka kwa hali ya amani ya nchi yetu Tanzania kunakotokana na tetesi za uwepo wa vikundi vya kigaidi vya siasa kali za kiislamu vinavyodaiwa kupanga kufanya...
Baada ya gazeti la Mwananchi kuweka hadharani kashfa ya naibu waziri wa elimu Bwana Philipo Mulugu kuhusu elimu yake na majina mbali mbali aliyotumia katika hatua mbali mbali za elimu kuanzia...
KITAIFA
Wakazi wa Ngorongoro Na Waandishi Wetu
Posted Jumatano,Marchi27 2013 saa 8:39 AM
KWA UFUPI
"Hairuhusiwi kufanya shughuli yoyote katika eneo lililotengwa na Serikali kwa...
Tanzanian Shilling Projected to Slip Further This Year
Daily News - March 27, 2013
THE shilling is likely to continue slipping due low export earning and high import bill, analysts say. They...
Juliana Shonza na Mtela Mwampamba walijiunga na CCM tarehe 12 Februari 2013 na kupokelewa na Kamati Kuu ya CCM. Hii ilikuwa ni baada ya wao kufukuzwa Uanachama wa BAVICHA na CHADEMA. Tukio hilo...
UTEKELEZAJI wa mipango ya Wizara ya Uchukuzi, inayosimamiwa na Dk Harrison Mwakyembe, kwa mwaka huu wa fedha uliobakiza miezi mitatu kwisha, ni wazi umekwama.
Wakati amebakiza muda huo mfupi...
CCM vs CHADEMA
Inakuja sasa mpango mpya wa kutolea kafara watu ili kujenga hoja ya kubambikiza kesi za kijasusi sheria ambayo haiwapi dhamana wala kuwatoa vifungoni hadi uchaguzi Mkuu upite...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, amesema kama kuna Watanzania wameweka fedha kwenye akaunti za benki nchini Cyprus, basi "imekula kwao".
Jaji Werema alitoa kauli hiyo...
Hili ni mfano mmojawapo wa jinsi gani viongozi wa CCM na jeshi la polisi hasa maaneo ya vijijini wanatumia vibaya madaraka yao. Hivi karibuni kumetokea mauaji ya mmojawapo wa wezi sugu wa mahindi...
Kwa muda sasa vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kauli tofauti za viongozi wa CHADEMA juu ya sakata la Lwakatare na mipango ya utekaji nyara kwa waandishi wasiounga mkono CHADEMA.
Wakati Dr...
Chama Cha NCCR-Mageuzi, juzi kimeuteka mji wa Kahama, mkoani Shinyanga na kufanikiwa kuzoa wanachama wapya 220 kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wanachama hao walijiunga na Chama...
Hivi karibuni umetoa post mbili zinazowaelezea viongozi wa CHADEMA kuwa ni wasaliti kwa vijana na ukitoa tahadhari ya vijana wengine kuwa makini na usaliti huo wa CHADEMA ukijenga hoja yako...
Sina shaka ujio wa raisi xi na program nzima ya ziara yake hapa nchini vilijulikana majuma kadhaa kabla ya jana.Kwa maslahi ya taifa hili, demokrasia na "trasparency" ilikua vyema kama wahusika...
Wadau za jioni?
Ebu tumckilize Naibu spika wetu mh J.N yupo ndani ya bbcswahili mida hii,Anadai yeye hawabani wapinzani bali "ANAFUATA" kanuni za bunge.
Wakili kutoka Kampuni ya Mawalla Advocates kutoka Arusha Nyaga Mawalla (kulia) akionyesha kielelezo na kivuli cha gazeti moja kilichoandika habari kuhusu Kampuni ya Mawala kufanya biashara ya...
Katika pita pita yangu, nimeinyaka hii atiko huko kwa misupu, lakini cha jabu ni busara zilizoandikwa kwenye hii atiko. naomba tujadili hasa ni kitu gani wachina wanakitafuta nchini tanzania...
Wanafunzi wa shule ya sekondari Southern Highlands waliomaliza kidato cha nne mwaka 2003 wamejitokeza kudai kuwa maisha yao yameathiriwa kwa kiasi kikubwa na uongozi wa Mulugo alipokuwa...
Wana Jf Naomba mnijulishe huyu mbunge wangu yuko wapi kwani ni Siku nyingi hatumwoni jimboni wala bungeni.Tuna mengi yakumweleza ila hatupati huo msaada na bunge la bajeti linakaribia kuanza.