Sat, Mar 30th, 2013
Tanzania
|
North Mara Gold Mine has assured residents in neighbouring villages of continued cooperation and support on social services, being part of the fulfillment of their...
Naipenda sana JF kwa kutunza kumbukumbu...
31st August 2012 17:10 - Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo vuguvugu la mageuzi limepamba moto nyumbani na kila kukicha chama chetu kinazidi kujizolea...
Baadhi ya askari polisi wakisukuma gari lao lililoharibika katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam Machi mwaka huu . Picha na Maktaba.
Baada ya shughuli nyingi za kutwa...
Leo ni sikukuu ya pasaka na askofu amegusia juu ya mgogoro wa kuchoma nyumba za ibada na mauaji ya viongozi wa dini ya kuwa ipo haja ya kukaa meza moja na kila upande uamini ya kuwa mwenzake ana...
Mkuu wa Wilaya ya Tanga BI HALIMA DENDEGO, ameagiza kila Mkazi wa Tanga aliye juu ya miaka 18 achangie TSHS 5000 kwa ajili ya maendeleo ya Elimu. Agizo hili amelitoa mara baada ya Kuwaamuru Wakuu...
Wanajamvi popote mtakapomwona KIKWETE ninaomba mumweleze haya:-
Mwambieni kikwete kuwa msingi wa mpasuko wa kidini katika nchi yetu kumetokana na kampeni za uchaguzi 2005 ambapo dini ilitumika...
JUMAMOSI, MACHI 30, 2013 01:07 NA MWANDISHI WETU, DAR
WIMBI la viongozi wakuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, kuendelea kuwindwa na watu wasiofahamika, limeendelea kushika kasi, baada ya...
Kama kawaida, makamanda wamechukua sentensi mbili tatu za polisi na kutaka kuzitumia kujenga chuki kati yake na wananchi, eti POLISI WAMJIBU HOVYO PENGO
Ndugu zanguni, hizi siasa za kitoto...
Ni majira ya saa tisa na dakika ishirini msafara wa mh.Lowasa uliingia kwenye manispaa ya Shinyanga mjini ukiongozwa na gari la askari polisi,ziara hiyo ni miongoni mwa ziara za kuchangia katika...
Nimekuwa nikitafakari kwa kina dhidi ya woga uliotanda ndani ya nafsi, na akili za wananchi katika kule kuhadaika na kauli ama madaraka ya Chama cha Mapinduzi yaliyodumu zaidi ya miaka 50 ikiwa...
Nawaomba viongozi wa CHADEMA amkeni, ITISHENI mkutano mkuu mkae mpange mikakati thabiti ya kukinusuru chama chenu kwani hali ya sasa inaiweka CHADEMA hatarini sana.
Suala la Lwakatare, Polisi...
BREAKING NEWS: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI EVALIST MUSHI AKAMATWA ZANZIBAR
Jeshi la polis linamshikilia Omari Musa Mkame Mkazi wa Mwanakwerekwe Zanziba anaye sadikiwa kuwa ni muuaji wa padre...
Hali ya siasa nchini ipo katika kipimo cha Def Cond 003, hii inamaana kuwa tungelitazama katika mizani ya hali ya Taifa, rais angelishatangaza hali ya hatari isiyozidi wala kupungua siku 28...
Asilimia kubwa ya wakazi wenyeji wa mkoa wa Dodoma wanakaa vijijini,maeneo ambayo yamegubikwa na umasikini wa kutisha wa kimazingira na watu wenyewe.Ni maeneo ambayo hayana huduma muhimu za msingi...
MAWAZIRI wawili wa Rais Jakaya Kikwete, jana walionja joto la jiwe baada ya wananchi wa Mtwara kuwazomea mkutanoni na hivyo kulazimika kukatiza mkutano wao.
Mawaziri hao ni Dk. Abdallah...
na Edmund Mihale|Machi 30
Taratibu mambo yameanza kuwekwa hadharani, na sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasema Mkurugenzi wao wa Idara ya Ulinzi, Wilfred Lwakatare...
MATEMBEZI YA AMANI WILAYANI KAHAMA
JUMAPILI YA PASAKAWana Kahama wote mnaombwa kushiriki Matembezi ya kuhamasisha Amani yaliyo andaliwa na chama cha NCCR MAGEUZI yatakayofanyika siku ya...
Source: allfamousquotes.net
Tafakari chukua hatua.
Tatizo kuna watu kama Chris Lukosi Wanachukua hatua halafu wanarudi tena kuungana na kumsikiliza huyo jamaa ndio maana hadondoki.