I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.
Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.
Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.
Ukiharibu...
Hili ndio swali ninalojiuliza.
Labda niulize: Hili nalo linahitaji ushauri au kutumia commonsense tu?
Kuna tofauti gani na mtu mwenye njaa anaenda kuomba unga kwa jirani wakati huo huo...
Katika kikao cha hivi karibuni cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, katibu wa mkoa, Mercy, alikabiliwa na hali ya kushangaza na kusikitisha.
Kikao hicho kilikuwa na jukumu la kukutana...
Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said ameshindwa kupenya katika mchujo wa majina 13 ya wagombea ubunge Jimbo la Kongwa.
Hersi ameungana na wagombea wengine 11 ambao majina yao yameshindwa kupenya...
Hivi anadhani wananchi wasio wakristo, anaowapiga vita waziwazi wanajiskiaje? Na je nao ustahimilivu wao wa kibinadamu ukiwashinda na wakaamua kujibu mapigo kutumia dini zao dhidi ya ukristo...
Mpo Salama!
Kwa kweli inaumiza Sana!
Nitakuwa mkweli na mwaminifu. Nitatenda haki kwa pande zote.
Nimefuatilia kwa kipindi kirefu sasa. Nimegundua Wabongo wengi wanatabia mbaya Sana.
Kwanza...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Klabu ya Yanga kujiepusha na Siasa na kurejesha Shilingi milioni 100 zinazodaiwa kuchangia kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia GSM...
Wakati dirisha la uchukuaji fomu za uteuzi kwa ajili ya kugombea nafasi za Ubunge likiwa tayari limefunguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, wagombea wawili wa Chama cha Wananchi CUF, Bw...
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, amewasili katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri...
Mgombea wa kiti cha Rais kupitia chama cha NCCR Mageuzi, Haji Ambar Khamis, amesema iwapo atapata nafasi ya kuongoza nchi, ataweka kipaumbele katika kurejesha maadili kwa wasanii wa muziki wa...
Aliyekuwa diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Themi,Petro Lobora, ametangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 16.
"Injinia Hersi Said ametuthibitishia kwamba ni mfanyakazi wa GSM na wakati huohuo ni Rais wa klabu ya Yanga... a conflict of interest (Mgongano wa kimaslahi). Inapotokea kwamba wewe ni kiongozi wa...
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Mussa Mwakitinya (MNEC) amewasihi viongozi wana CCM mkoa wa Tabora, kuendelea kuwa wamoja na kuzuia mipasuko inayoweza kukipata Chama wakati mgumu wa...
"Klabu ya Yanga imesafiri na Rais wetu Hersi Kuja huku Rwanda na sijui hizi taarifa zimetoka wapi kwasababu kila kitu kilihishia alipotaka kuwa Mbunge wa Kigamboni."
"Kuna vitu vinaendelea...
Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Jimbo la Kawe, Dorcas Francis amehama rasmi leo Agosti 15, 2025 na kutangaza kuhamia chama cha CHAUMMA na kupokelewa na Naibu Katibu Mkuu w chama hicho, Benson...
Hofu imetanda kwa baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, (wajumbe) baada ya uwepo wa fununu za kuenguliwa kwa mtia nia wa...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, leo tarehe 15 Agosti 2025 amekabidhi fomu za uteuzi kwa mgombea wa kiti cha Rais, Luhaga Mpina, na...
Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani.
Roncliffe Odit...